Simba vs TP Mazembe, ila nna hofu Leo jamaa wanaondoka na Konde Boy!

Tuisila Kisinda siyo Mchezaji wewe yule ni Mwanariadha tu akija Simba atakaa benchi kama Ilivyo kwa Gadiel, Ajib, Morrison, Niyonzima na Kakolanya ambao walikuwa kwenye 11 bora wa Utopolo lkn Msimbazi wakasugua mbao tu!
kweli mkuu mwanariadha aliye mlambisha mchanga babu onyango
 
Ha kwan aya mashindano yakoje[emoji23][emoji23]
 
hili kombe la mazuzu sana eti timu yenye pointi 0 inagombea kombe na timu yenye pointi 3 imetoka
Mkuu una ufahamu na Soka kweli wewe ...chagua jukwaa la kuchangia ,huku unajitia aibh
 
Mbona unateseka sana jitahidini timu yenu angalau iwe kwenye 50 bora labda tutawafikiria
iwe kwa 50 bora ili ikiwa tu hatumo na tunawachapa tutakavyo
Mkuu una ufahamu na Soka kweli wewe ...chagua jukwaa la kuchangia ,huku unajitia aibh
unazungumzia soka, nafahamu hadi kabumbu, kandanda, we unasema soka.

ko wataka kusema kombe limebaki nyumbani hahahah
 
iwe kwa 50 bora ili ikiwa tu hatumo na tunawachapa tutakavyo

unazungumzia soka, nafahamu hadi kabumbu, kandanda, we unasema soka.

ko wataka kusema kombe limebaki nyumbani hahahah
Zawadi ilitangazwa baada ya Simba kushinda mechi ya kwanza, ndio ujuwe Simba ni genge la wahuni na matapeli.
 
Mbona mnaumia sana kwa vitu visivyowahusu
Mkuu nduguyo akifanywa msukule utachekelea tu.

simba kazaliwa toka kwa yanga akiwa na akili timamu leo kafanywa msukule na mwamedi amefikia hatua anashangilia kubeba kombe aliloandaa yeye,akaratibu kila kitu yeye, mc ni msemaji wake yaani haina tofauti na simba day toleo la 2
 
iwe kwa 50 bora ili ikiwa tu hatumo na tunawachapa tutakavyo

unazungumzia soka, nafahamu hadi kabumbu, kandanda, we unasema soka.

ko wataka kusema kombe limebaki nyumbani hahahah
Kwa kikosi cha sasa cha Simba tano zinawasubiri sijui mtasingizia nini ukiacha draw mliyobebwq na refa nafikiri bado hamjasahau zile nne tilizowapiga Azam confederation
 
zile nne mlizo andaa mazingira kwa kumuhadaa morison kwa hongo ya dola buku 10 baada ya kuwapigilia msumari march 8
 
Ila unakichwa kigumu kuelewa mambo ya soka. Kwa hiyo umeona inachezwa fainali pale🤣🤣
kwamba haikuwa fainal kwamba hujui mshindi alikuwa apatikane katika mechi hii ndo maana ya fainal

kwani fainali ni nini? si mchezo wa mwisho kuamua mshindi wa ligi,mchezo ama bonanza kama leo

wewe kwa akili yako wajua fainali ni nn?
 
Wewe kichwa unga,
Mshindi wa EPL anapatikana vp? Kuna fainali?
 
Back
Top Bottom