kweli mkuu mwanariadha aliye mlambisha mchanga babu onyangoTuisila Kisinda siyo Mchezaji wewe yule ni Mwanariadha tu akija Simba atakaa benchi kama Ilivyo kwa Gadiel, Ajib, Morrison, Niyonzima na Kakolanya ambao walikuwa kwenye 11 bora wa Utopolo lkn Msimbazi wakasugua mbao tu!
Mbona unateseka sana jitahidini timu yenu angalau iwe kwenye 50 bora labda tutawafikiriapointi 4 mmenyanyua ndoo na kitita cha 15 m alafu fainal umecheza na timu yenye pointi 0 huku mwenye point 3 katolewa.
Mkuu una ufahamu na Soka kweli wewe ...chagua jukwaa la kuchangia ,huku unajitia aibhhili kombe la mazuzu sana eti timu yenye pointi 0 inagombea kombe na timu yenye pointi 3 imetoka
iwe kwa 50 bora ili ikiwa tu hatumo na tunawachapa tutakavyoMbona unateseka sana jitahidini timu yenu angalau iwe kwenye 50 bora labda tutawafikiria
unazungumzia soka, nafahamu hadi kabumbu, kandanda, we unasema soka.Mkuu una ufahamu na Soka kweli wewe ...chagua jukwaa la kuchangia ,huku unajitia aibh
Mbona mnaumia sana kwa vitu visivyowahusuhili kombe la mazuzu sana eti timu yenye pointi 0 inagombea kombe na timu yenye pointi 3 imetoka
Zawadi ilitangazwa baada ya Simba kushinda mechi ya kwanza, ndio ujuwe Simba ni genge la wahuni na matapeli.iwe kwa 50 bora ili ikiwa tu hatumo na tunawachapa tutakavyo
unazungumzia soka, nafahamu hadi kabumbu, kandanda, we unasema soka.
ko wataka kusema kombe limebaki nyumbani hahahah
Mkuu nduguyo akifanywa msukule utachekelea tu.Mbona mnaumia sana kwa vitu visivyowahusu
Kwa kikosi cha sasa cha Simba tano zinawasubiri sijui mtasingizia nini ukiacha draw mliyobebwq na refa nafikiri bado hamjasahau zile nne tilizowapiga Azam confederationiwe kwa 50 bora ili ikiwa tu hatumo na tunawachapa tutakavyo
unazungumzia soka, nafahamu hadi kabumbu, kandanda, we unasema soka.
ko wataka kusema kombe limebaki nyumbani hahahah
Jamaa anaweweseka sana kuhusu Simba ingawa anaangalia mechi za kimataifa kwa hisani ya SimbaMbona mnaumia sana kwa vitu visivyowahusu
zile nne mlizo andaa mazingira kwa kumuhadaa morison kwa hongo ya dola buku 10 baada ya kuwapigilia msumari march 8Kwa kikosi cha sasa cha Simba tano zinawasubiri sijui mtasingizia nini ukiacha draw mliyobebwq na refa nafikiri bado hamjasahau zile nne tilizowapiga Azam confederation
Safari hii utahongwa wewe ushangilie Simbazile nne mlizo andaa mazingira kwa kumuhadaa morison kwa hongo ya dola buku 10 baada ya kuwapigilia msumari march 8
labda kushangilia ikibondwaSafari hii utahongwa wewe ushangilie Simba
Ila unakichwa kigumu kuelewa mambo ya soka. Kwa hiyo umeona inachezwa fainali pale🤣🤣pointi 4 mmenyanyua ndoo na kitita cha 15 m alafu fainal umecheza na timu yenye pointi 0 huku mwenye point 3 katole
Simba kuna wachezaji watatu tu wa kununua,manula,konde na kapombeWatachanganyikiwa Simba ya sasa ina wachezaji wengi wazuri labda watamchukua Ajibu
Huujui Mpira wewe yale yale Mnamwacha Kabamba mnasajili akina Ukoko na Mwanariadha KisindaSimba kuna wachezaji watatu tu wa kununua,manula,konde na kapombe
Hujaonesha uongo wa kauli yangu,kama kisinda hafai kamuulize babu onyangoHuujui Mpira wewe yale yale Mnamwacha Kabamba mnasajili akina Ukoko na Mwanariadha Kisinda
kwamba haikuwa fainal kwamba hujui mshindi alikuwa apatikane katika mechi hii ndo maana ya fainalIla unakichwa kigumu kuelewa mambo ya soka. Kwa hiyo umeona inachezwa fainali pale🤣🤣
Wewe kichwa unga,kwamba haikuwa fainal kwamba hujui mshindi alikuwa apatikane katika mechi hii ndo maana ya fainal
kwani fainali ni nini? si mchezo wa mwisho kuamua mshindi wa ligi,mchezo ama bonanza kama leo
wewe kwa akili yako wajua fainali ni nn?