Simba vs TP Mazembe: Rekodi za nyuma

Ulitegemea bingwa wa kihistoria Wa UEFA Real Madrid angetolewa na ajax??? Mpira hauko ivo acha kukariri
 
Kauli kama hii ilitolea kwenye awamu ya kwanza ikaenda kwenye group stage na kuna baadhi ya wachambuzi walisema simba underdog.

Kwaiyo sikushaangai ila simba inafika fainali nakuambia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mkuu Mashujaa Fc kumfunga Simba kunahalalisha Simba kufungwa na Mwadui fc?!
we mwenyewe shahidi siku ile uliona kikosi kilichoanza sio kinacho anza kwenye mashindano haya ya CAF, na huyu mazembe mnae mkubali makali yake yaliishia 2015, sikuhizi anapigika vizuri,
 
Record za kuchukua mara 5 sio issue. Ukumbuke hata yeye hakuwahi kuchukua na alipita kwa hao hao waliochukua mpaka akawa bingwa. Timu zinapanda na kushuka.
Wewe sema tu mechi itakua ngumu, hizo sababu nyingine ni mboyoyo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we mwenyewe shahidi siku ile uliona kikosi kilichoanza sio kinacho anza kwenye mashindano haya ya CAF, na huyu mazembe mnae mkubali makali yake yaliishia 2015, sikuhizi anapigika vizuri,
Na unamzungumziaje hii ishu ya kuipiga 8 Club Africans iliyokamata nafasi ya pili kwenye group? Unahisi wamebahatisha?!
 
Kauli kama hii ilitolea kwenye awamu ya kwanza ikaenda kwenye group stage na kuna baadhi ya wachambuzi walisema simba underdog.

Kwaiyo sikushaangai ila simba inafika fainali nakuambia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ungeelewa neno underdog linavyotumika kwenye michezo wala usingewalaumu hao wachambuzi. Au sema mwenyewe kuelekea mechi ya Simba Vs Tp Mazembe nani underdog hapo? Tp Mazembe?! Kuitwa underdog hakumaanisha hamuwezi kushinda ila kufanya maajabu kama mlivyofanya group stage.
 
Na unamzungumziaje hii ishu ya kuipiga 8 Club Africans iliyokamata nafasi ya pili kwenye group? Unahisi wamebahatisha?!
Club African hajashika nafasi ya pili kwenye group, nafasi ya pili imeshikwa na constantine. Alafu point alizo fuzu nazo mazembe ni 11. Na alikuwa na timu za kawaida, kumbuka simba ilipangwa na timu mbili ambazo zote zilicheza fainali mwaka Jana na tumeweza kupita, pia kumbuka hao mazembe tuliwasumbua sana 2011, sasa linganisha ubora wa simba ya 11 na hii ya 2019. Alafu bado sisi tuna njaa na hamu Ku linganisha na wao ambao wamesha libeba hili kombe
 
Pia kwa rekodi za hivi karibuni Mazembe amemchabanga mtu 8-0 au hii haiendani na vichapo?
Kichapo hicho alikitoa akiwa nyumbani. Ugenini hana kitu!! huko ugenini na yeye anaweza kuchezea kichapo kama hicho!
 
Saaaaaafiiiii!
 
Britannica mikoro mingi tomonanite ozali wapi ndeko nangai makambo eleki
 
Kwani simba ni nani?
Masahabiki ndio Simba yenyewe, wachezaji wanakuja na kutoka. Huo ujumbe wa kuwachukulia poa unatakiwa uupeleke kwa wachezaji, humu washabiki hata wakiuchukulia poa halafu wachezaji wakauchukulia serious, ushauri wako hauna maana
 
Acha kusumbua watu, mechi yenyewe haitakuwepo. Weka rekodi za AS Vita vs TP Mazembe.

Simba labda muombe mechi na Sanga Balende maana hawako bize. Ndio mkome kuwekea wenzenu madawa ya usingizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…