Simba vs TP Mazembe: Rekodi za nyuma

Simba vs TP Mazembe: Rekodi za nyuma

Kwenye group stage timu zilizoingia robo fainali simba ndioo timu iliyofungwa magoli mengi (13) na Tp mazembe ndio timu iliyofunga magoli mengi (13)......akili kwenye kichwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kujifariji wewe japo mpira ni mpira lakini TP MAZEMBE,kwa mpira uwezo wake ni mkubwa sana kulinganisha na simba.timu imechukua kombe mala tano!!!uilinganishe na timu ambayo kwanza ndio imeingia robo fainali??tatizo letu huwa tunafarijiana tu mdomoni ila moyoni tunajua ukweli kama sio ROHONI!!!baada ya mchzo ndio mnaanza kujifariji oooh ile timu ina uwekezaji mkubwa!!!
madrid wana UEFA 13 na wametolewa na Ajax tukiwaambia hii sio mazembe ile mue mnaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
madrid wana UEFA 13 na wametolewa na Ajax tukiwaambia hii sio mazembe ile mue mnaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu madrid ya sasa tena kabla ya zizou kuja unailinganisha na tp mazembe?? Kwenye ligi ya drc, wako nafasi ya ngapi? Kwenyr group stage wamefunga goli kama 16!!na kufungwa 2,simba amefungwa ngapi? Japo mpira una dunda lakini tp mazembe ki uwezo wapo juu ya simba!! Acha mahaba niue!! Tuzungumzie facts
 
Acha kujifariji wewe japo mpira ni mpira lakini TP MAZEMBE,kwa mpira uwezo wake ni mkubwa sana kulinganisha na simba.timu imechukua kombe mala tano!!!uilinganishe na timu ambayo kwanza ndio imeingia robo fainali??tatizo letu huwa tunafarijiana tu mdomoni ila moyoni tunajua ukweli kama sio ROHONI!!!baada ya mchzo ndio mnaanza kujifariji oooh ile timu ina uwekezaji mkubwa!!!
Ndugu unavyoandika utafikiri unaanza leo kufuatilia mpira sasa kuchukua mara 5 ina matter vipi hapa
Refer Ajax na Real Madrid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutawatufutia timu ngingine ,maana kazi yenu kila timu inayokutana na simba nyie kuwa wachambuzi
 
TP Mazembe ni saizi ya Simba kabisa. Ujanja wake ni nyumbani tu. Kwenye makundi ameshinda mechi tatu tu na zote ni za nyumbani. Timu ngumu iliyobaki ni ES Tunis (Esperence) ya Tunisia ambao ni mabingwa watetezi. Yeye kwenye makundi hakuwahi kuchezewa kichapo! Kati ya pointi 18 amejikusanyia pointi 14, kapoteza pointi 4 kwa draw mbili za ugenini. Waliobaki wote pamoja na Simba wameshinda mechi tatu tatu tu na zote zimeshinda mechi za nyumbani. Kwa hiyo hakuna mwenye rekodi ya kutisha hata kutuogopesha zaidi ya ES Tunis!! Come Mazembe and face the Music!!!!!!!!!
Mashabiki kama wewe ndo wale tùnaoona mnazīmiaga pale kwa mchina. Mmeķaa kwenye vijiwe vya kahawa na kujiaminisha umbumbumbu kisha mnakuja kutunisha vifua hapa
 
Britannica mikoro mingi tomonanite ozali wapi ndeko nangai makambo eleki
Mlianza kujifunza kiswatini, kizambia, kiarabu, kikongo, kote huko hamkuelewa na mkapoteana naona mungu alivyo wa ajabu kawarudisha darasani tena msome kikongo labda mnaweza ambulia ukatibu wa bendi za Congo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye group stage timu zilizoingia robo fainali simba ndioo timu iliyofungwa magoli mengi (13) na Tp mazembe ndio timu iliyofunga magoli mengi (13)......akili kwenye kichwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupata maksi nyingi kwenye mitihani siyo kufaulu ktk maisha, na hesabu ukiijua haikusumbui, Simba alicheza na hesabu tu ambazo mlibeza lakini alivyo waduwaza mkaanza kutafuta area of weakness, mmeanza kuja na rekodi kana TP mazembe wana rekodi kuliko Al Ahly mnasahau rekodi zipo kuvunjwa btw endeleeni kuponda Simba ndo tunaweka rekodi na kuvunja rekodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 


===
Naomba jina la mtagazaji wa mechi hii aliyetangaza goli la pili la Simba. Simba tafadhali mpeni kadi ya heshima mtangazaji huyu.
 
Huu ubishi haunaga faida anayejiamini simba inakufa abishane kwenye betting huko toa hela yako weka kwa hao wazembe tuacheni na simba yetu basi..
 
1062292
Sisi tumetabiri tutafungwa 2-0
 
Rekodi za nyuma zinaonyesha kuwa Simba na TP Mazembe walikutana mwaka 2011 kwenye CAF Champions League raundi ya kwanza:

Mechi ya kwanza ilipigwa Dar- Simba 2, TP Mazembe 3.
Mechi ya Pili ilipigwa DRC - TP Mazembe 3, Simba 1.
Kwenye mechi ya kwanza magoli ya Simba yalifungwa na Mkina dk 58 na Mbwana Samatta dk 70.
Mechi ya pili goli la simba lilifungwa na Emmanuel Okwi

Samatta aliwasumbua sana, na ndio chanzo cha wao kumnunua. Pia Okwi aliwasumbua sana.
Kiwango cha Simba cha sasa ni kikubwa kulioko cha wakati huo. Na kiwango cha TP Mazembe cha wakati huo ni kikubwa kuliko cha sasa! Wao wameshuka sisi tumepanda. Kwa hiyo Safari hii hawachomoki lazima Simba atafune mtu hapa kwetu na ugenini.

TP Mazembe hana rekodi ya kuifunga Simba magoli mengi.
Simba wanatamani hiyo mechi ingekuwa hata kesho watafune mtu!!
natamani maneno yako yawe ya kweli
 
Back
Top Bottom