Simba vs TP Mazembe: Rekodi za nyuma

Kwenye group stage timu zilizoingia robo fainali simba ndioo timu iliyofungwa magoli mengi (13) na Tp mazembe ndio timu iliyofunga magoli mengi (13)......akili kwenye kichwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
madrid wana UEFA 13 na wametolewa na Ajax tukiwaambia hii sio mazembe ile mue mnaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
madrid wana UEFA 13 na wametolewa na Ajax tukiwaambia hii sio mazembe ile mue mnaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu madrid ya sasa tena kabla ya zizou kuja unailinganisha na tp mazembe?? Kwenye ligi ya drc, wako nafasi ya ngapi? Kwenyr group stage wamefunga goli kama 16!!na kufungwa 2,simba amefungwa ngapi? Japo mpira una dunda lakini tp mazembe ki uwezo wapo juu ya simba!! Acha mahaba niue!! Tuzungumzie facts
 
Ndugu unavyoandika utafikiri unaanza leo kufuatilia mpira sasa kuchukua mara 5 ina matter vipi hapa
Refer Ajax na Real Madrid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutawatufutia timu ngingine ,maana kazi yenu kila timu inayokutana na simba nyie kuwa wachambuzi
 
Mashabiki kama wewe ndo wale tùnaoona mnazīmiaga pale kwa mchina. Mmeķaa kwenye vijiwe vya kahawa na kujiaminisha umbumbumbu kisha mnakuja kutunisha vifua hapa
 
Britannica mikoro mingi tomonanite ozali wapi ndeko nangai makambo eleki
Mlianza kujifunza kiswatini, kizambia, kiarabu, kikongo, kote huko hamkuelewa na mkapoteana naona mungu alivyo wa ajabu kawarudisha darasani tena msome kikongo labda mnaweza ambulia ukatibu wa bendi za Congo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye group stage timu zilizoingia robo fainali simba ndioo timu iliyofungwa magoli mengi (13) na Tp mazembe ndio timu iliyofunga magoli mengi (13)......akili kwenye kichwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kupata maksi nyingi kwenye mitihani siyo kufaulu ktk maisha, na hesabu ukiijua haikusumbui, Simba alicheza na hesabu tu ambazo mlibeza lakini alivyo waduwaza mkaanza kutafuta area of weakness, mmeanza kuja na rekodi kana TP mazembe wana rekodi kuliko Al Ahly mnasahau rekodi zipo kuvunjwa btw endeleeni kuponda Simba ndo tunaweka rekodi na kuvunja rekodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

===
Naomba jina la mtagazaji wa mechi hii aliyetangaza goli la pili la Simba. Simba tafadhali mpeni kadi ya heshima mtangazaji huyu.
 
Huu ubishi haunaga faida anayejiamini simba inakufa abishane kwenye betting huko toa hela yako weka kwa hao wazembe tuacheni na simba yetu basi..
 
natamani maneno yako yawe ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…