ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
Aaah TP Mazembe tutawapiga nyingi ,heri wangeleta hata Zamalek ,Al Ahly ,Mamelodi au Esperance
Waliowatoa kwenye robo fainali wanatokea Africa ipi?Ubora wa TP Mazembe sikatai ni timu kongwe na bora, ila sisi hizi vilabu vya North Africa ndo zinazotupa tabu tunakutana tu kwenye makundi au mtoano
Waliowatoa kwenye robo fainali wanatokea Africa ipi?
Tuache ushabiki kwenye kila kitu.Simba hawana uwezo wa kuleta timu yoyote kubwa ao Mazembe Kama wangekua katika ubora wao wasingekuja kucheza na Simba ni kwakua uwezo wa kifedha na uwanjani umeshuka ndio maana wanaweza kuja.
Niongezee swali lingine, walioitoa Simba mwaka juzi robo fainali walitokea Afrika ipi?Waliowatoa kwenye robo fainali wanatokea Africa ipi?
NonsenseUbora wa TP Mazembe sikatai ni timu kongwe na bora, ila sisi hizi vilabu vya North Africa ndo zinazotupa tabu tunakutana tu kwenye makundi au mtoano
Zanaco na kapumbu wao, ni timu kubwa?Simba hawana uwezo wa kuleta timu yoyote kubwa ao Mazembe Kama wangekua katika ubora wao wasingekuja kucheza na Simba ni kwakua uwezo wa kifedha na uwanjani umeshuka ndio maana wanaweza kuja.
MIMAVI INAKUTOKASimba hawana uwezo wa kuleta timu yoyote kubwa ao Mazembe Kama wangekua katika ubora wao wasingekuja kucheza na Simba ni kwakua uwezo wa kifedha na uwanjani umeshuka ndio maana wanaweza kuja.
Hapana bado amelala.Hivi Mbwana Samatta bado anacheza?
Icheze na psg sio?Sasa ni Rasmi Kuwa Simba Watavaana Na TP Mazembe Kwenye Kilele Cha Simba Day.
Hii imethibitishwa na Mtendaji Mkuu wa Simba Madam Barba Kupitia Simba App.
Ushauri: Ni wakati sasa Wa vilabu vya Simba na Yanga Kuacha Kucheza Mechi za Mchangani Bali watafute Ushindani Kwa Timu zingine kubwa Sio Kila mwaka Ni Congo, Zambia Sijui Zimbabwe Mara Kenya.
Kwa sasa Simba Kucheza na TP MAZEMBE NI MEchi Ya Mchangani Kwa Simba.