logframe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,242
- 5,543
Eti Yanga ni wakongo... Kumbe ndo wanawataftaSi tulikubaliana hatuchezi na wacheza sebene?[emoji3][emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti Yanga ni wakongo... Kumbe ndo wanawataftaSi tulikubaliana hatuchezi na wacheza sebene?[emoji3][emoji3]
"Sisi Simba hatutaki kucheza wala kusajili wa kongo.."timu zote za waarabu zimekataa aibu ya kufungwa Simba day kwa Mkapa,akuna jinsi itabidi tu Simba icheze na Mazembe ingawa Mazembe ni under dog kwa Simba ya sasa.
TP Mazembe iko juu ya Zamalek, na MamelodAaah TP Mazembe tutawapiga nyingi ,heri wangeleta hata Zamalek ,Al Ahly ,Mamelodi au Esperance
Umeanza kufuatilia mpira juzi.Ubora wa TP Mazembe sikatai ni timu kongwe na bora, ila sisi hizi vilabu vya North Africa ndo zinazotupa tabu tunakutana tu kwenye makundi au mtoano
Labda simba hao yanga mimi zanaco nimeijulia kwao na bado wanahangaika na katimu kashirikishoSasa ni Rasmi Kuwa Simba Watavaana Na TP Mazembe Kwenye Kilele Cha Simba Day.
Hii imethibitishwa na Mtendaji Mkuu wa Simba Madam Barba Kupitia Simba App.
Ushauri: Ni wakati sasa Wa vilabu vya Simba na Yanga Kuacha Kucheza Mechi za Mchangani Bali watafute Ushindani Kwa Timu zingine kubwa Sio Kila mwaka Ni Congo, Zambia Sijui Zimbabwe Mara Kenya.
Kwa sasa Simba Kucheza na TP MAZEMBE NI MEchi Ya Mchangani Kwa Simba.
Hawa ndio mikiaEti Yanga ni wakongo... Kumbe ndo wanawatafta
akikujibu nitagWako nafasi ya ngapi katika CAF ranking? Na Zanaco pia unijulishe
Ayo maneno kasema nani?,usitulishe maneno wanamsimbazi,Chriss Kope Mugalu ni mcongo."Sisi Simba hatutaki kucheza wala kusajili wa kongo.."
Ha ha ha mnachekesha
Mlisema tumesajili Kongo ya wanakwaya siku ya Mwananchi...Ayo maneno kasema nani?,usitulishe maneno wanamsimbazi,Chriss Kope Mugalu ni mcongo.
As Vita ni ya Congo na tuliwafunga nje ndani na Shaban Djuma akiwemo ambae sasa ni mchezaji wa misukule f.c
Usitulishe maneno.Simba tumetulia tunasubiri mechi zetu mbili za cafcl tuingie makundi,wakati huo nyinyi mtakua out mnapiga domo tu.Mlisema tumesajili Kongo ya wanakwaya siku ya Mwananchi...
Kumbe mnapenda wanakwaya pia?