Simba Vs TP Mazembe: Simba day

Simba Vs TP Mazembe: Simba day

Hahahaaaa. Tunawaambia wasisema wakamaliza lakini huwa hawasikii.

Yameishia wapi ya Al Ahly. ๐Ÿ˜€
Huenda labda al ahly walikuwa msikitini
Thimba Team kubwa level moja na ahly ahly.."๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Hao mazembe striker lao la kutegemewa ni Thomas ulimwengu na hata timu ya taifa ya Tanzania hapati namba

Sasa mnategemea nini?, Hii ni simba ya kimkakati brother
 
Ni heri wangekuja Waarabu RS Berkane ili tumuage mchezaji Chama. Au timu toka hata huko Uarabuni

Hawa TP Mazembe walishakuja msimu uliopita, hivyo hawana msisimko kivile wa kuja kujaza uwanja.
 
Ubora wa TP Mazembe sikatai ni timu kongwe na bora, ila sisi hizi vilabu vya North Africa ndo zinazotupa tabu tunakutana tu kwenye makundi au mtoano
Vipi Kaizer Chiefs Mkuu ni ya North Africa?
 
Ni heri wangekuja Waarabu RS Berkane ili tumuage mchezaji Chama. Au timu toka hata huko Uarabuni

Hawa TP Mazembe walishakuja msimu uliopita, hivyo hawana msisimko kivile wa kuja kujaza uwanja.
Yaan mliopo nje mnajua kuliko viongozi wa simba?
 
Ubora wa TP Mazembe sikatai ni timu kongwe na bora, ila sisi hizi vilabu vya North Africa ndo zinazotupa tabu tunakutana tu kwenye makundi au mtoano
timu zote za waarabu zimekataa aibu ya kufungwa Simba day kwa Mkapa,akuna jinsi itabidi tu Simba icheze na Mazembe ingawa Mazembe ni under dog kwa Simba ya sasa.
 
Sasa ni Rasmi Kuwa Simba Watavaana Na TP Mazembe Kwenye Kilele Cha Simba Day.

Hii imethibitishwa na Mtendaji Mkuu wa Simba Madam Barba Kupitia Simba App.

Ushauri: Ni wakati sasa Wa vilabu vya Simba na Yanga Kuacha Kucheza Mechi za Mchangani Bali watafute Ushindani Kwa Timu zingine kubwa Sio Kila mwaka Ni Congo, Zambia Sijui Zimbabwe Mara Kenya.

Kwa sasa Simba Kucheza na TP MAZEMBE NI MEchi Ya Mchangani Kwa Simba.
Simba haina hadhi ya kuwapotezea muda Al Ahly, msiwe mnaamini kila mnachoambiwa.
 
Back
Top Bottom