Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mliopo national stadium tupeni taarifa tafadhali
Simba na Yanga leo zimetoka nguvu sawa, huku kila upande ukitegemea ushindi. Hii ni dalili kwamba timu hizi mbili zimekamiana vya kutosha.
yanga hoyeeeeeeeeeeeesimba oyeee!
Inabidi tufanye sensa ili kujua kuna Yanga kandambili wangapi 🙂
Ulijua je kama wana loga au na wewe ni mwanga...kama nikuloga basi yanga ndiyo mliloga maana marefa walikuwa wana wapendelea sana au mliwapa kitu kidogo hawakujua hata muda ulishaisha wa kucheza mpira mpaka yanga alipo sawazisha....na kama hamkuwa loga au hamkuwapa kitu kidogo basi tz hutuna marefa....ila simba nafsi ya pili inatuhusu na soka jana tumelitandaza ukitaka kuamini uliza aliyefika uwanjani au fanya leo ni Jmosi halafu kesho ukalione pambano...daaaaaaaaaaaaaah simba noma sema tu ukeli.... Boban ongeza bidii hata kama "Maximo" asipokuita timu ya taifaIla Simba kwa kuloga nimewavulia kofia....jana wameloga pale kati kati ya uwanja kabla ya game kuanza...
Ni kweli maana hadi Mkuu wa jamvi 😕; hivi yale maendeleo ya mtandao wao (yanga) yaliishia wapi?au ilikuwa ni mambo ya zimamoto kama kawaida ye2 waTZ??
Vijana wa Jangwani kazi nzuri kazeni buti... Lakini watani eti bingwa wa Ligi anakula pointi zaidi ya 50 anayefuata anatambaa na kwenye 30s, aibu au ndio soka hii??
Mi nadhani ubingwa ni tiketi ya kucheza ligi ya mabingwa Afrika. Sasa kama mtu unakuwa bingwa halafu unaishia raundi ya awali, itakuwa hivyo hadi lini? Ifikie kipindi Yanga nao wazifunge timu kubwa kubwa za Afrika kama Simba ilivyowahi kuzifunga Ismailia, Arab Contractors, ASEC Mimosas, Enyimba na Ajax Cape Town. Sio kuivurumishia mabao timu ya Shelisheli halafu unakuja kusema wewe ni mwamba!!
Mkuu Opaq..., nimekupata lakini hapa ishu sio kucheza ligi ya nje bali ni kuwapiga bao Simba....... Kwanza tukubali kwamba kwa Bongo kwa muda huu Yanga ni kiboko, kisha tuangalie tunajipanga vipi kwenye so-called michezo na timu kubwa... ila usisahahu Mkuu kuwa Yanga nayo ni timu kubwa sababu imeifunga Simba ambayo imezoea kuzifunga timu kubwaa..... ha ha haaaaa......
Wallahi kwetu sisi wanaYanga huu ni mwaka mkubwa sana na wa baraka kibao.....
Bottom line kwa msimu wa Ligi wa 2008/09 YANGA imekuwa kidedea na SIMBA wamekuwa wateja mwaka huu... Ikumbukwe kuwa mechi ya mzunguko wa kwanza alipigwa mtu bao na wikendi iliyopita ilikuwa sare!!!