Simba Vs Yanga fans betting

Yanga 2 - 2Simba.

Ova
 
Hahahaaaa. Nitakuwepo kuangalia dk zote Sesten.

Ila mna tambo. 😜😜
 
Lete kidole chako cha mwisho tuunganishe na changu halafu mtu aje kukata

Mbona nyie Yanga mnajiamini sana leo? 'Mshaongea' na refa nini?
Hahahaaa. Hiki hapa. Zero njoo ukate huku. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hahahaaaa. Ndio kazi ya mdomo hiyo Sesten. Wacha Yanga tutambe. πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…