Hawa jamaa ni noumaView attachment 881935
Hawa ni wajinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa ni noumaView attachment 881935
Hahaaaaa hivi ndo huo ulikuwa unausubilia kwa mbwembweMan u kachana mkeka wa wangu wa M 150 mwenyewe nilishaanza kuulizia misosi ya kula watu wenye pesa
Hahahaaa, bahati nzuri zimebaki saa chache tu ili kuthibitisha hilo mkuu,Tatizo performance ya timu inajionyesha mkuu.
Yanga 2 - 2Simba.Leo ndio ule mtanange pendwa wa watani wa Jadi SIMBA SC VS YANGA SC.
Fans wote wa hizo timu mje tubeti hapa iwe kwa pesa taslim au vocha .
Mi betting yangu.
Ajitokeze mshabiki yeyote wa Simba tuje tuweke dau siyo parefu sana ni Buku 5 tu.
ikiwa simba itashinda anifate PM nitamtumia Buku tano na kuweka ushahidi hapa wa muhamala wa pesa na YANGA ikishinda nitamfata PM anitumie buku tano yangu Ushahidi utakujia hapa hapa.
Michezo ni kwa Afya na Undugu Lets pray the game as a die hard fans.
Tatizo wengi tuko Yanga.Natafuta mtu wa kubet nae leo dadeki
Hahahaaaa. Nitakuwepo kuangalia dk zote Sesten.Nina wasiwasi sana na wewe Hajar usije ukapata ugonjwa wa pressure(Allah Atakunususru) na weye bado mbichiiii
Maana sio kwa kosi lililotimia kama la Wanamsimbazi aisee. Kama vipi ukae mbali na Runinga yako usiangalie mtakavyokua mnanyanyasika pale kwa Mchina, usubiri kuletewa matokeo tu😀😀😀
Yaani wamepinda hasa.Kuna watu wamepinda hadi raha aisee
Hivi na hao wanawake wanakua kama bidhaa tu?Yaani watakua kimya na kukubalikubadilishwa kama nyanyana vitunguu?
Hahahaaa. Hiki hapa. Zero njoo ukate huku. 😂😂😂😂Lete kidole chako cha mwisho tuunganishe na changu halafu mtu aje kukata
Mbona nyie Yanga mnajiamini sana leo? 'Mshaongea' na refa nini?
Relax...utakuepo taifa???Poa mkuu betting imepita usikimbie lakini