Simba Vs Yanga fans betting

Simba Vs Yanga fans betting

simba 2
yanga 0
Simba yupi mkuu huyu ninaemjua mimi au mwingine.
IMG_20180929_094027_622.jpeg
 
Leo ndio ule mtanange pendwa wa watani wa Jadi SIMBA SC VS YANGA SC.

Fans wote wa hizo timu mje tubeti hapa iwe kwa pesa taslim au vocha .


Mi betting yangu.
Ajitokeze mshabiki yeyote wa Simba tuje tuweke dau siyo parefu sana ni Buku 5 tu.

ikiwa simba itashinda anifate PM nitamtumia Buku tano na kuweka ushahidi hapa wa muhamala wa pesa na YANGA ikishinda nitamfata PM anitumie buku tano yangu Ushahidi utakujia hapa hapa.

Michezo ni kwa Afya na Undugu Lets pray the game as a die hard fans.
Yanga 2 - 2Simba.

Ova
 
Nina wasiwasi sana na wewe Hajar usije ukapata ugonjwa wa pressure(Allah Atakunususru) na weye bado mbichiiii

Maana sio kwa kosi lililotimia kama la Wanamsimbazi aisee. Kama vipi ukae mbali na Runinga yako usiangalie mtakavyokua mnanyanyasika pale kwa Mchina, usubiri kuletewa matokeo tu😀😀😀
Hahahaaaa. Nitakuwepo kuangalia dk zote Sesten.

Ila mna tambo. 😜😜
 
Back
Top Bottom