Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana
Mie ni Simba, mechi hii naiona sare ya bila kufungana au sare ya goli moja. Kwanini nayasema haya. Simba wanacheza mpira wa pasi fupifupi ila za polepole sana kiasi ambacho ni rahisi kuwadhibiti hasa kwa timu yenye walinzi wazuri na wazoefu kama wa Yanga.Tatizo ni kiwango chenu kwa sasa, hamna tofauti na timu ya Arsenal (mashabiki wa Arsenal namitaka radhi kwa hili)
Yanga kwa sasa haina uhakika wa kupata matokeo kwenye mechi zake, na kudhihirisha hilo kwenye michezo yake miwili inayofuata itaambulia point moja tu.
Kila lakheri Shadeeya
Kila lakheri Biashara united
Yani hapo mwisho ndo ulipo haribu either kwa kukariri au kwa kutokufuatilia mechi za simba, Kwenye mechi NNE za mwisho simba imefunga magoli 14 Kwenye hayo magoli Kagere kafunga Mawili.Mie ni Simba, mechi hii naiona sare ya bila kufungana au sare ya goli moja. Kwanini nayasema haya. Simba wanacheza mpira wa pasi fupifupi ila za polepole sana kiasi ambacho ni rahisi kuwadhibiti hasa kwa timu yenye walinzi wazuri na wazoefu kama wa Yanga.
Simba hawachezi mpira kwa ari na jihadi, wanacheza kiulaini sana. Kingine ambacho bado hawaja kimudu sana ni uwezo wa kupasiana mpira kwa usahihi bila kukosea sana (passing accuracy), wanapoteza sana mipira.
Nawaona Yanga wakibana nafasi na kutumia counter attacks na hivyo kuwasumbua sana mabeki wa Simba hasa wa kati kama Wawa na Nyoni ambao wapo slow kiasi fulani.
Pia Simba haina forward nzuri sana kwa sasa, ukiacha Miraji ambae sijamuona kwenye mechi kadhaa, yeye ana uwezo mkubwa wa kukimbia na mpira na kupunguza mabeki, Kagere yeye uwezo huo hana na akikabwa itakuwa ndio shida kidogo.
Kwa mtazamo huo nadiriki kusema kuwa naiona sare siku ya jumamosi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi zote walizoshinda magoli 14 nimewaona, kumbuka jumamosi hawachezi na AFC Arusha wala Ndanda FC wanacheza na Yanga.Yani hapo mwisho ndo ulipo haribu either kwa kukariri au kwa kutokufuatilia mechi za simba, Kwenye mechi NNE za mwisho simba imefunga magoli 14 Kwenye hayo magoli Kagere kafunga Mawili.
Leo hii simba haichezi kwa kumzunguka Kagere, wanavyocheza simba inawafanya hawa viungo washambuliaji wawezi kufunga magoli, ndo mana saizi unamuona Kahata anafunga, Deo anafunga, HD anafunga.
Njia pekee ya yanga kuizuia simba ni kuwafanya viungo wa simba wa kati wasicheze.
Swala la matokeo hilo tunaziachia dk 90,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kale kajamaa hakana huo uwezo. Ila ngoja katkujibu kama ulivyotakaHivi ikitokea
Ibrahim Ajibu akaifunga goli Yanga je
Atashangilia ?
Maana sidhani kama atajisikia vizuri kuwaudhi Yanga.
Naomba Jibu toka kwa Ajibu mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huto tujamaa ulitotutaja twote tunavifunga vitimu vya ajabu ajabu. #04Jan2020kipimohalisiYani hapo mwisho ndo ulipo haribu either kwa kukariri au kwa kutokufuatilia mechi za simba, Kwenye mechi NNE za mwisho simba imefunga magoli 14 Kwenye hayo magoli Kagere kafunga Mawili.
Leo hii simba haichezi kwa kumzunguka Kagere, wanavyocheza simba inawafanya hawa viungo washambuliaji wawezi kufunga magoli, ndo mana saizi unamuona Kahata anafunga, Deo anafunga, HD anafunga.
Njia pekee ya yanga kuizuia simba ni kuwafanya viungo wa simba wa kati wasicheze.
Swala la matokeo hilo tunaziachia dk 90,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Yanga ni kwamba ni kiongozi tu wa hizo timu za ajabu ajabu.Huto tujamaa ulitotutaja twote tunavifunga vitimu vya ajabu ajabu. #04Jan2020kipimohalisi
Kwani ukisema we ni Yanga hutoeleweka?Mie ni Simba, mechi hii naiona sare ya bila kufungana au sare ya goli moja. Kwanini nayasema haya. Simba wanacheza mpira wa pasi fupifupi ila za polepole sana kiasi ambacho ni rahisi kuwadhibiti hasa kwa timu yenye walinzi wazuri na wazoefu kama wa Yanga.
Simba hawachezi mpira kwa ari na jihadi, wanacheza kiulaini sana. Kingine ambacho bado hawaja kimudu sana ni uwezo wa kupasiana mpira kwa usahihi bila kukosea sana (passing accuracy), wanapoteza sana mipira.
Nawaona Yanga wakibana nafasi na kutumia counter attacks na hivyo kuwasumbua sana mabeki wa Simba hasa wa kati kama Wawa na Nyoni ambao wapo slow kiasi fulani.
Pia Simba haina forward nzuri sana kwa sasa, ukiacha Miraji ambae sijamuona kwenye mechi kadhaa, yeye ana uwezo mkubwa wa kukimbia na mpira na kupunguza mabeki, Kagere yeye uwezo huo hana na akikabwa itakuwa ndio shida kidogo.
Kwa mtazamo huo nadiriki kusema kuwa naiona sare siku ya jumamosi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia posts zangu humu utajua, nimeongea sana kuhusu Simba kumtoa Aussems na kumleta Matola na hilo limefanyiwa kazi, inaonekana uongozi unasoma posts za wanaSimba genuine sio mashabiki tu.Kwani ukisema we ni Yanga hutoeleweka?
Hadi sasa Yanga imeruhusu magoli 8 Kwenye mechi 11 wakati simba imeruhusu magoli 3 Kwenye mechi 13.Simba mtajisifu sana, lakini hakuna foward mwenye uwezo wa kuipenya ngome ya Yanga, simba watakachofanya ni kupiga pasi zisizokuwa na malengo katikati ya uwanja kuwafurahisha washabiki wao , lakini kufunga sahauni,
Duu yaani we ni Simba jamii ya kilomoniKwani ukisema we ni Yanga hutoeleweka?
Tarehe 4 zikipungua Sana basi ni goli 6 bilaView attachment 1306684
Hakuna ubishi uwezo wa timu hizi mbili unadhibitisha matokeo ya mechi ya Simba Vs Yanga hiyo January,2019. Yanga inakwenda kula vitasa vya nguvu.
Yanga imeonyesha kiwango hafifu sana na mashabiki wameonyesha hofu na kukosa imani na kikosi. Hali hii ni tofauti kabisa na kikosi cha Simba.
Simba yenye kikosi hatari kinachocheza mpira wa kitabuni,imekuwa na uhakika wa kushinda mchezo.
Katika mechi tatu ilichocheza hivi karibuni wamefunga goli 12 huku ikicheza soka la kuvutia.
Ni dhahiri Yanga inategemea zaidi ndondokela na sio uwezo wa kufunga kwa mbinu.
Kwa uwezo wa timu hizi kwa sasa,naziona kabisa tano bila zileeeeeeeeeeeeee
ONYO
Kwa mashabiki wa Yanga wenye tabia za kuweka wake zenu rehani. This time hatua msalia mtume,mkeo tutamchukua
Kapo humu?Kale kajamaa hakana huo uwezo. Ila ngoja katkujibu kama ulivyotaka