Simba vs Yanga: Kocha mpya aambiwe mapema

McFerson

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,166
Reaction score
2,322
Wasalaam

Aambiwe kwamba
1. SIMBA SC is another level hapa VPL
2. Viwango vya wachezaji wa Yanga ni vya chini ukilinganisha vya wale wa Simba
3. Kwenye derby ya Kariakoo asijichanganye akachezesha free game kisa achezeshe pira biriani, atajuta (a) kuijua Simba (b) kuifundisha Yanga

Mpelekeeni habari.
 
Mpelekeeni habari

Coach huyu naive ajabu. Anamwaga mbinu zake hadharani, wenzake wanamsoma tu.
 
mwachee aendelee kumwaga mbinu zake
japo nasikia barca walimtimua kwa upupu 😂😂😂😂😂
 
Simba kwenye hii mechi anashinda zaidi ya goli 3.
minaweka nyumba ya urithi ya marehemu babu yangu ipo Kiwangwa Bagamoyo.
alie tayari aje na offer yake tuwekeane dau mimi naweka nyumba ya marehemu babu yeye aweke kishkizo cha shati kimoja tu.
 
Khaa😀
 
Hiyo ni nyumba ya ukoo cyo yako nazan tafuta kingine
 
Wasalaam

Aambiwe kwamba
1. SIMBA SC is another level hapa VPL
2. Viwango vya wachezaji wa Yanga ni vya chini ukilinganisha vya wale wa Simba
3. Kwenye derby ya Kariakoo asijichanganye akachezesha free game kisa achezeshe pira biriani, atajuta (a) kuijua Simba (b) kuifundisha Yanga

Mpelekeeni habari.
Naomba hii itokee wakomeshwe
 
Simba kwenye hii mechi anashinda zaidi ya goli 3.
minaweka nyumba ya urithi ya marehemu babu yangu ipo Kiwangwa Bagamoyo.
alie tayari aje na offer yake tuwekeane dau mimi naweka nyumba ya marehemu babu yeye aweke kishkizo cha shati kimoja tu.
Kujilipua ndio huku
 
Jenga yako ujuwe ilivyo kazi na tabu kujenga unazani unaweza kufanya ufala huo
 
asidhubutu kufunguka, atajuta haiwai kutokea. Kosa walilofanya Yanga kwenye 4 ni kucheza free game. Hata Azam huwa wanakula nyingi kwa sababu ya kufunguka
Wewe mwongo, mecbi hiyo watatu walihujumiwa, Morrison, Juma Abdul na Yondani wakacheza chini ya kiwango. Ile mechi Simba hawana cha kujisifu.
 
Jenga yako ujuwe ilivyo kazi na tabu kujenga unazani unaweza kufanya ufala huo
Ya urithi sina uchungu nayo kwanza,labda ingekuwa yakwangu.
kama una kishikizo cha shati fika dau niweke nyumba ya Babu.
 
Wasalaam

Aambiwe kwamba
1. SIMBA SC is another level hapa VPL
2. Viwango vya wachezaji wa Yanga ni vya chini ukilinganisha vya wale wa Simba
3. Kwenye derby ya Kariakoo asijichanganye akachezesha free game kisa achezeshe pira biriani, atajuta (a) kuijua Simba (b) kuifundisha Yanga

Mpelekeeni habari.
Malizaneni kwanza na akina Prisons kabla ya kuizungumzia Yanga.
 
Hivi huyu kocha hakuna aliyekwisha mpelekea ujumbe huu?
 
Back
Top Bottom