Simba vs Yanga: Kocha mpya aambiwe mapema

Simba vs Yanga: Kocha mpya aambiwe mapema

Naombeni link ya kuangalia hii game nimebanwa sana leo sitapata nafasi ya kuangalia kwenye TV
 
Wasalaam

Aambiwe kwamba
1. SIMBA SC is another level hapa VPL
2. Viwango vya wachezaji wa Yanga ni vya chini ukilinganisha vya wale wa Simba
3. Kwenye derby ya Kariakoo asijichanganye akachezesha free game kisa achezeshe pira biriani, atajuta (a) kuijua Simba (b) kuifundisha Yanga

Mpelekeeni habari.
Hivi wale Prison au Ruvu Shooting ni level gani vile?

Mbumbumbu SC bana!
 
Wasalaam

Aambiwe kwamba
1. SIMBA SC is another level hapa VPL
2. Viwango vya wachezaji wa Yanga ni vya chini ukilinganisha vya wale wa Simba
3. Kwenye derby ya Kariakoo asijichanganye akachezesha free game kisa achezeshe pira biriani, atajuta (a) kuijua Simba (b) kuifundisha Yanga

Mpelekeeni habari.
Unafungwa na Prisons na Ruvu shooting na draw na Mtibwa unapata wapi huo moyo...hakuna rushwa leo maduka yamefukuzwa
 
Back
Top Bottom