Wasalaam
Aambiwe kwamba
1. SIMBA SC is another level hapa VPL
2. Viwango vya wachezaji wa Yanga ni vya chini ukilinganisha vya wale wa Simba
3. Kwenye derby ya Kariakoo asijichanganye akachezesha free game kisa achezeshe pira biriani, atajuta (a) kuijua Simba (b) kuifundisha Yanga
Mpelekeeni habari
Khaa😀Simba kwenye hii mechi anashinda zaidi ya goli 3.
minaweka nyumba ya urithi ya marehemu babu yangu ipo Kiwangwa Bagamoyo.
alie tayari aje na offer yake tuwekeane dau mimi naweka nyumba ya marehemu babu yeye aweke kishkizo cha shati kimoja tu.
Hiyo ni nyumba ya ukoo cyo yako nazan tafuta kingineSimba kwenye hii mechi anashinda zaidi ya goli 3.
minaweka nyumba ya urithi ya marehemu babu yangu ipo Kiwangwa Bagamoyo.
alie tayari aje na offer yake tuwekeane dau mimi naweka nyumba ya marehemu babu yeye aweke kishkizo cha shati kimoja tu.
Kwaiyo unanitemesha nyumba ya urithi niliyopewa na babuyangu!?Hiyo ni nyumba ya ukoo cyo yako nazan tafuta kingine
Naomba hii itokee wakomeshweWasalaam
Aambiwe kwamba
1. SIMBA SC is another level hapa VPL
2. Viwango vya wachezaji wa Yanga ni vya chini ukilinganisha vya wale wa Simba
3. Kwenye derby ya Kariakoo asijichanganye akachezesha free game kisa achezeshe pira biriani, atajuta (a) kuijua Simba (b) kuifundisha Yanga
Mpelekeeni habari.
Kujilipua ndio hukuSimba kwenye hii mechi anashinda zaidi ya goli 3.
minaweka nyumba ya urithi ya marehemu babu yangu ipo Kiwangwa Bagamoyo.
alie tayari aje na offer yake tuwekeane dau mimi naweka nyumba ya marehemu babu yeye aweke kishkizo cha shati kimoja tu.
Jenga yako ujuwe ilivyo kazi na tabu kujenga unazani unaweza kufanya ufala huoSimba kwenye hii mechi anashinda zaidi ya goli 3.
minaweka nyumba ya urithi ya marehemu babu yangu ipo Kiwangwa Bagamoyo.
alie tayari aje na offer yake tuwekeane dau mimi naweka nyumba ya marehemu babu yeye aweke kishkizo cha shati kimoja tu.
Wewe mwongo, mecbi hiyo watatu walihujumiwa, Morrison, Juma Abdul na Yondani wakacheza chini ya kiwango. Ile mechi Simba hawana cha kujisifu.asidhubutu kufunguka, atajuta haiwai kutokea. Kosa walilofanya Yanga kwenye 4 ni kucheza free game. Hata Azam huwa wanakula nyingi kwa sababu ya kufunguka
Ya urithi sina uchungu nayo kwanza,labda ingekuwa yakwangu.Jenga yako ujuwe ilivyo kazi na tabu kujenga unazani unaweza kufanya ufala huo
Malizaneni kwanza na akina Prisons kabla ya kuizungumzia Yanga.Wasalaam
Aambiwe kwamba
1. SIMBA SC is another level hapa VPL
2. Viwango vya wachezaji wa Yanga ni vya chini ukilinganisha vya wale wa Simba
3. Kwenye derby ya Kariakoo asijichanganye akachezesha free game kisa achezeshe pira biriani, atajuta (a) kuijua Simba (b) kuifundisha Yanga
Mpelekeeni habari.
Na TshishimbiWewe mwongo, mecbi hiyo watatu walihujumiwa, Morrison, Juma Abdul na Yondani wakacheza chini ya kiwango. Ile mechi Simba hawana cha kujisifu.