kwenye black hapo mkuu!
Ha ha ha typing error kiongozi, si unjua mambo ya kufanya kazi kadhaa kwenye computer kwa wakati mmoja? una minimise moja na kuhamia nyingine
hadi sasa simba wanashambuliwa na wamezidiwa kinoma
tunaomba link siyo haya madudu ya urembo
hadi sasa ngoma nzito kwa simba wanashambulia kinoma na nnaona kaseja anatia nakshi hapa
leo tumepiga uzi wa kijani ule wachama hasa
Hizi update mbona za kiuchoyo uchoyo vile?
leo tumepiga uzi wa kijani ule wachama hasa
Kwanza haziji kiutaalamu kabisa umeona eh?