Simba vs Yanga Okt 16, 2010

Simba vs Yanga Okt 16, 2010

Mpaka sasa Kiungo ya simba imelikama dimba vizuri kiasi kwamba chiji na babi hawajaonyesha makeke yao
 
hadi sasa yanga(wana wa Green) wanafanya mashambulio ya maana ya kufa mtu
 
Haya nitasikiliza michezo radioni maana wanaoupdate naona timu yao kibonde wamekosa morali
 
ila tuseme kiukweli simba mnyama karoa kiunoma maana tumewabana kila eneo leo lazima mnyama achinjwe tu
 
Unapenda sana dezo. Leo hakuna link za bure... hahahahaa
teh teh teh yaani imebidi nicheke wakti nilikuwa nimenuna baada ya kuona tangazo furani kupitia Startv
 
Dakika ya 56 milango bado migumu, ohhhhh! Startv wanaturushia wanakatakata
 
Back
Top Bottom