Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Mshana Jr kwa mara nyingine ametabiri klabu ya simba kupata ushindi mnono dhidi ya Yanga kwenye mechi itakayochezwa kesho tarehe 11/12 katika uwanja wa Benjamin Mkapa.Mtanange wa Simba na Yanga ndio umekaribia, the wait is over!!
Kuelekea mchezo wa Simba na Yanga sio mbaya ukatupia ubashiri wako, mimi kama shabiki wa timu fulani, naiogopa zaidi Simba mbovu kuliko Simba nzuri.
Matokeo yangu ni 1-1
Hahaha[emoji23]Kwa jinsi ndumba zinavyofanyika huko msimbazi basi kesho Yanga tunafungwa
makolo wanafungwa goli tatu kwa mojaMtanange wa Simba na Yanga ndio umekaribia, the wait is over!!
Kuelekea mchezo wa Simba na Yanga sio mbaya ukatupia ubashiri wako, mimi kama shabiki wa timu fulani, naiogopa zaidi Simba mbovu kuliko Simba nzuri.
Matokeo yangu ni 1-1
HakunaLini ulitabiri kuwa SIMBA ATAFUNGWA??
Acha ushabiki maandazi, mpira ni mchezo wa wazi hakuna shortcut hizo za kishirikina, ingekuwa hivyo Messi angefungwa miguu yake asifunge. Simba mnaamini sana USHIRIKINA badala ya kutrain vizuri wachezaji wenu, msipokuwa makini hii mechi mnaenda kupoteza kizembe.Hakuna
UmekosaSimba 3-1 Yanga
Umekosa mkuuMakolo wanakufa 2 bila
LostSimba 2 yanga 1