Simba Vs Yanga weka ubashiri wako hapa

Simba Vs Yanga weka ubashiri wako hapa

Ubashiru gani Tena wakati kesho sisi Simba hatuchezi! Labda waondoe mabango yakipuuzi ya GSM uwanjani..yaani tupambane kujitangaza kimataifa kwa Jasho letu..alafu huyu tapeli GSM..atumie mgongo wetu kujitangaza kimataifa kwa Jasho letu..shenzy kabisa!!!
 
Mtanange wa Simba na Yanga ndio umekaribia, the wait is over!!

Kuelekea mchezo wa Simba na Yanga sio mbaya ukatupia ubashiri wako, mimi kama shabiki wa timu fulani, naiogopa zaidi Simba mbovu kuliko Simba nzuri.

Matokeo yangu ni 1-1
Mshana Jr kwa mara nyingine ametabiri klabu ya simba kupata ushindi mnono dhidi ya Yanga kwenye mechi itakayochezwa kesho tarehe 11/12 katika uwanja wa Benjamin Mkapa.

NB: haya ni maono hai
 
Screenshot_20211210-203702.jpg
 
Mtanange wa Simba na Yanga ndio umekaribia, the wait is over!!

Kuelekea mchezo wa Simba na Yanga sio mbaya ukatupia ubashiri wako, mimi kama shabiki wa timu fulani, naiogopa zaidi Simba mbovu kuliko Simba nzuri.

Matokeo yangu ni 1-1
makolo wanafungwa goli tatu kwa moja
 
Acha ushabiki maandazi, mpira ni mchezo wa wazi hakuna shortcut hizo za kishirikina, ingekuwa hivyo Messi angefungwa miguu yake asifunge. Simba mnaamini sana USHIRIKINA badala ya kutrain vizuri wachezaji wenu, msipokuwa makini hii mechi mnaenda kupoteza kizembe.
Game ya Leo naiona wazi ikiamuliwa na viungo hivyo ni jukumu la Simba kuhakikisha anaweka viungo wenye uwezo wa kushambulia lkn pia kukaba kwa wakati husika.
Ikiwa hii mechi Simba itaanza na Mzamiru, Mkude, Kanoute basi ni wazi kabisa Simba anaenda kupoteza mechi hii, kiuhalisi Yanga wako vizuri zaidi ya Simba, wanavyodrible, wanavyokaba, wanavyotafuta mpira ukiwa upande wa mpinzani wake nk, pamoja na hayo Yanga wanayo madhaifu katika beki zao hasa wakati sahihi wa kuclear hatari.
Simba wajaribu zaidi kuweka mabeki vijana kama Mwenda nk.
MWISHO MJINGA HUJISIFU KWA UCHAWI.
 
Mechi ishaisha yanga kajitahidi sana atapata saee ila shinda wanshinda si chini ya goli 2
 
Back
Top Bottom