Simba wa Teranga: Kikosi cha dhahabu kilichotikisa Dunia

Namkumbuka mtu mmoja hatari wakuitwaga Camara dah ilikuwa hatari sana, mategemeo ya Africa yalizimika ghafla baada ya hawa jamaa kutolewa! Sijui kama itakuja kutokea tena hii!
Ana sura ya upole hivi Henry camara kacheza timu nyingi sana pale England kuanzia west ham stoke city shelfied jumatano na nyingine lukuki kiukweli vipaji huja na kuondoka sijui kama simba wale watarudi tena au watabaki kuwa paka tu kama kizazi hiki.
 
Hahah hahah you nailed it Mkuu, sijui yupo wapi kwa sasa huyu jamaa!
 
Afrika sijui tuna matatzo gani, nakiona kikosi bora kabisa kimeshehen wachezaji wenye vipaji, ila ukianza kumfatilia mmoja mmoja mwenye career yake utachoka...

Kasoro khalilou fadiga tu aliyepatwa na maradhi ya moyo.. wengine walifeli.
 
Hiki chuma bado kipo baada ya Celtic mara Wigan mara southompton kilikimbilia ugiriki na kutoa huduma kwa timu tofauti kama atromitos mara panetolikos na lamia kisha apollo symy hivi sasa kinatoa huduma timu ya ionikos ilishiriki ligi daraja la tatu hapo hapo Greece.
 
Afrika sijui tuna matatzo gani, nakiona kikosi bora kabisa kimeshehen wachezaji wenye vipaji, ila ukianza kumfatilia mmoja mmoja mwenye career yake utachoka...

Kasoro khalilou fadiga tu aliyepatwa na maradhi ya moyo.. wengine walifeli.
Ukiachilia mbali swala la ulimbukeni na kuridhika wengi wao huwa walaghai wa umri ndio maana hutamba kwa muda mfupi. Ghana iliwakuta hali hiyo miaka ya 90 walikuwa wanachukua sana hizi world cup under nini nini sijui mpaka ilipokuja gundulika hiyo ghilba yao na nadhani walifungiwa kushiriki kwa muda flan. Kumbe vilikuwa vijeba nyembe nyingi tu zimepita videvuni pana visiki vya khatari.Pia nchi za ulaya wametuzidi hapo vijana wanaona kuliko kucheza timu za kwao bora wakacheze kwa wazungu mtizame chary musonda wa Chelsea huyu dogo ataishia kucheza kama sio England basi Belgium ambapo alizaliwa waqt huo baba yake Charles musonda wa zambia akicheza underletch ya ubeligiji nae kazaliwa miaka mitatu tu baada kutokea kule Gabon ambapo kikosi cha kk eleven kilipoteza maisha.
 
Nafikiri changamoto kuu ilikuwa nidhamu, licha ya vipaji maridhawa, bado wengi walikuwa na tabia za kihuni na uswahili mwingi.

mfano ni El Hadji Diouf kuwatemea wenzake mate
 
Ukiachilia mbali swala la ulimbukeni na kuridhika wengi wao huwa walaghai wa umri ndio maana hutamba kwa muda mfupi. Ghana iliwakuta hali hiyo miaka ya 90 walikuwa wanachukua sana hizi world cup under nini nini sijui mpaka ilipokuja gundulika hiyo ghilba yao na nadhani walifungiwa kushiriki kwa muda flan. Kumbe vilikuwa vijeba nyembe nyingi tu zimepita videvuni pana visiki vya khatari.Pia nchi za ulaya wametuzidi hapo vijana wanaona kuliko kucheza timu za kwao bora wakacheze kwa wazungu mtizame chary musonda wa Chelsea huyu dogo ataishia kucheza kama sio England basi Belgium ambapo alizaliwa waqt huo baba yake Charles musonda wa zambia akicheza underletch ya ubeligiji nae kazaliwa miaka mitatu tu baada kutokea kule Gabon ambapo kikosi cha kk eleven kilipoteza maisha.
Umeongea hoja ya msingi mkuu. Udanganyifu wa umri ni tatizo sugu sana miongoni mwa wanandinga wengi wa kiafrika.
 
Kocha wa hiko kikosi alikuwa Marehemu Bruno Metsu.

Hapo kikosini nawakumbuka golikipa Tony Silva, Captain Aliou Cisse ambaye kwasasa ndiye kocha mkuu wa kikosi hiko, pia Ferdinand Coly huyo jamaa mwenye rasta.

Kiungo matata kabisa aliyestafu mpira mapema kutokana na matatizo ya moyo, Khalilu Fadiga mwenye jezi namba 10.

Pia kuna Salif Diao namba 15, Henry Camara mwenye namba 7, Beki ya kulia Omar Daf mwenye namba 2.

El Hadji Diouf mwenye 11, na Papa Bouba Diop mwenye 19 ambaye aliwagunga Ufaransa kwenye mechi ya kwanza ya Kombe la Dunia.

Pia walifungwa na Cameroon katika fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika ya mwaka 2002 kwa mikwaju ya penati.

Miaka ya 2000 ilikuwa ni wakati mzuri kama mshabiki wa soka kufatilia soka kutokana na uwepo wa kikosi kama hiki.

Ahsante mtoa mada kwa kutukumbusha mbali.

cc: Guasa Amboni
Bruno metsu na phillipe troussier the white witch doctor pamoja na bora milutinovic ni baadhi ya makocha walioweza kulifanya bara la afrika liwike bila kumsahau clement westerhorf na nigeria yake pana vitu vimepungua khasa penye kuzalisha vipaji na kuvitunza mpaka viive
 
El Hadji Diouff, sijui yuko wapi sasa!!!
2002 nilikuwa Chuo 2nd year, nakumbuka vizuri sana hii game....
 
Bruno metsu na phillipe troussier the white witch doctor pamoja na bora milutinovic ni baadhi ya makocha walioweza kulifanya bara la afrika liwike bila kumsahau clement westerhorf na nigeria yake pana vitu vimepungua khasa penye kuzalisha vipaji na kuvitunza mpaka viive
Kuna sehemu tumekosea, ndio maana haishangazi Afcon siku hizi hazina mvuto.
 
Back
Top Bottom