Unai Emery
Member
- Nov 19, 2019
- 79
- 62
Inasemekana msimu ujao atachezea Simba SC huku jambo lake likiendelea kutafutiwa ufumbuzi.
Nimeumia sana, bora angeenda kuchezea hata Azam FC ila sio kwa Simba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amka utajinyea,unaota [emoji23]Mzee wa ugali sukari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wenzio huko wanakimbia posho hakuna ,makombe hakuna ,wewe unapakimbilia[emoji23][emoji23][emoji23]
Inonga katimkia KAIZER CHIEFS
Zimbwejr katimkia ORLANDO PIRATES
Baleke katimkia Antalaspol ya TURKEY
Onyango katimkia KENYA
Sakho anaenda WYDAD AC
Phili ameenda Atletico de Luanda
Wewe nenda kacheze mzee bocco na ntibanzokiza muishushe timu daraja[emoji57]
Kaondoka tu na Yanga ikaanza kutakata. Binafsi nawaomba Yanga wasimrudishe huyu gundu. Anaweza akawa mchezaji mzuri lakini asiye na Baraka. Hana tofauti na Pogba au Eden Hazard
Akili matope Mayele anaenda wqpi ndugu katope?🤣🤣🤣Mzee wa ugali sukari😂😂😂😂wenzio huko wanakimbia posho hakuna ,makombe hakuna ,wewe unapakimbilia😂😂😂
Inonga katimkia KAIZER CHIEFS
Zimbwejr katimkia ORLANDO PIRATES
Baleke katimkia Antalaspol ya TURKEY
Onyango katimkia KENYA
Sakho anaenda WYDAD AC
Phili ameenda Atletico de Luanda
Wewe nenda kacheze mzee bocco na ntibanzokiza muishushe timu daraja😏
Tatizo unamshauri Feisal lakini hayumo humu JF 😁😁😁Mzee wa ugali sukari😂😂😂😂wenzio huko wanakimbia posho hakuna ,makombe hakuna ,wewe unapakimbilia😂😂😂
Inonga katimkia KAIZER CHIEFS. Zimbwejr katimkia ORLANDO PIRATES. Baleke katimkia Antalaspol ya TURKEY. Onyango katimkia KENYA
Sakho anaenda WYDAD AC. Phili ameenda Atletico de Luanda
Wewe nenda kacheze mzee bocco na ntibanzokiza muishushe timu daraja😏
Yaan Jean Baleke aende Antalanyaspor[emoji15]Mzee wa ugali sukari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wenzio huko wanakimbia posho hakuna ,makombe hakuna ,wewe unapakimbilia[emoji23][emoji23][emoji23]
Inonga katimkia KAIZER CHIEFS
Zimbwejr katimkia ORLANDO PIRATES
Baleke katimkia Antalaspol ya TURKEY
Onyango katimkia KENYA
Sakho anaenda WYDAD AC
Phili ameenda Atletico de Luanda
Wewe nenda kacheze mzee bocco na ntibanzokiza muishushe timu daraja[emoji57]
Tulia dogo.Hv una akili Kweli wew ,unazijua sheria Moira vzr ,Sasa kwa taarifa yako ss yanga tunataka tumuone huyo kidume atakayemchukuwa huyo mchezaji ndio utajua fifa,caf sheria zake zinafanya Kaz
Kumbe siku hizi mpango ni kutimka tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mzee wa ugali sukari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wenzio huko wanakimbia posho hakuna ,makombe hakuna ,wewe unapakimbilia[emoji23][emoji23][emoji23]
Inonga katimkia KAIZER CHIEFS
Zimbwejr katimkia ORLANDO PIRATES
Baleke katimkia Antalaspol ya TURKEY
Onyango katimkia KENYA
Sakho anaenda WYDAD AC
Phili ameenda Atletico de Luanda
Wewe nenda kacheze mzee bocco na ntibanzokiza muishushe timu daraja[emoji57]
Kishkwambi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaan Jean Baleke aende Antalanyaspor[emoji15]
Aise rudisha kishkwambi kwa mkuu wako wa shule[emoji1787]
Aende hata kesho kama anaweza. Kwanza kutoroka kwake kambini, kumeisaidia Yanga kufanya vizuri zaidi katika mashindano ya ndani, na yale ya Kimataifa.View attachment 2622326
Inasemekana msimu ujao atachezea Simba SC huku jambo lake likiendelea kutafutiwa ufumbuzi.
Nimeumia sana, bora angeenda kuchezea hata Azam FC ila sio kwa Simba.
NakaziaKaondoka tu na Yanga ikaanza kutakata. Binafisi nawaomba Yanga wasimrudishe huyu gundu. Anaweza akawa mchezaji mzuri lakini asiye na Baraka. Hana tofauti na Pogba au Eden Hazard