Bado nawaza mkono wa kulia wa Feisal ulienda wapi katika picha hii.View attachment 2622326
Inasemekana msimu ujao atachezea Simba SC huku jambo lake likiendelea kutafutiwa ufumbuzi.
Nimeumia sana, bora angeenda kuchezea hata Azam FC ila sio kwa Simba.
Narudia kukazia kuwa Feisal angekuwepo bado huenda Yanga isingechukuwa ubingwa ligi kuu na isingefika nusu fainali kombe la Shirikisho .Wewe Muite ufahamu wako mdogo wewe
Narudia kukazia kuwa Feisal angekuwepo bado huenda Yanga isingechukuwa ubingwa ligi kuu na isingefika nusu fainali kombe la Shirikisho .
By niliye na ufahamu mdogo
Halafu timu yenye posho haijaweza kupeleka mchezaji hata mmoja nje ya nchi.... Haya ni maajabu.Mzee wa ugali sukari😂😂😂😂wenzio huko wanakimbia posho hakuna ,makombe hakuna ,wewe unapakimbilia😂😂😂
Inonga katimkia KAIZER CHIEFS
Zimbwejr katimkia ORLANDO PIRATES
Baleke katimkia Antalaspol ya TURKEY
Onyango katimkia KENYA
Sakho anaenda WYDAD AC
Phili ameenda Atletico de Luanda
Wewe nenda kacheze mzee bocco na ntibanzokiza muishushe timu daraja😏
Na TRAKO linanawiriDogo anakula raha tu katika fukwe mbalimbali now....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utaumia sanaView attachment 2622110