Wachezaji wengi wa Simba ni viwango,siyo kama timu b yenu wanaingia hata majina hawajulikani,simba imesajili wachezaji wenye majina na viwango,hata wawe timu b mtawaona kama timu AZana,Mlipili,Kwasi to mention few ni Simba B? Yaani nyie hata professionals mnawapeleka mapinduzi?
kama timu za ndondo..too much
Unjafikiri kusoma sana ndiyo kujua kila kitu?dharula= dharura
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Sasa nyie wenye viwango mko wapi?Wachezaji wengi wa Simba ni viwango,siyo kama timu b yenu wanaingia hata majina hawajulikani,simba imesajili wachezaji wenye majina na viwango,hata wawe timu b mtawaona kama timu A
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie Mikia mnajipya gani?
Hapana, "sinjafikiri" hivyo.Unjafikiri kusoma sana ndiyo kujua kila kitu?
Mikia buanakama timu za ndondo..too much
Sawa AllahHapana, "sinjafikiri" hivyo.
"Njafikiri" hakuna ajuae kila kitu ila Allah pekee.
Astaghafiru'Llah.Sawa Allah
Hawa Mikia utawaweza ujuaji mwingi sana mkuunimeona aibu wale watoto wa Simba wanafanya sub wakabadirishana shin guard...Timu tajiri kabisa....Mo kama aliona kesho kuna mtu anafukuzwa kazi...
Sawa mwarabu.....inshallah.....niongezee vocabularies kesho nina wageni uwanja wa TaifaAstaghafiru'Llah.
Helwa, helwa, helwaAAAAAaaaaaaaq gooooooolllllllllll.Sawa mwarabu.....inshallah.....niongezee vocabularies kesho nina wageni uwanja wa Taifa
Wapi sasa wenyeji(Mikia) au?Helwa, helwa, helwaAAAAAaaaaaaaq gooooooolllllllllll.
Ya salaam ya salaam goool adhyim jidan min wasat almeidan.
Hapo ujuwe mshalamba moja. Lakini Ukisikia gol halafu kimyaaaaaaaa, ujuwe mshawalambisha moja.
Team zolizofika nusu fainali means zote ni nzuri ndio maana vibonde wametolewa kwa hiyo simba B ilipewa majukumu mazito zaidi kuliko yaliyopita
Mbona Hukupeleka timu b tangu hapo awali.
Ilihitajika kupigwa jeki na kikoso cha kwanza ili ufike Nusu fainali kwenye Mapinduzi Cup.
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ Mkuu umeua bendi.That f*ckin dude with a hard skull will hardly understand you.Cigarette is a pinch of tobacco rolled in a piece of paper with fire on one end and a fool on the other end,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaseke,Buswita,Mwinyi Hajj,Matteo Antony nk nao ni YANGA BZana,Mlipili,Kwasi to mention few ni Simba B? Yaani nyie hata professionals mnawapeleka mapinduzi?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Helwa, helwa, helwaAAAAAaaaaaaaq gooooooolllllllllll.
Ya salaam ya salaam goool adhyim jidan min wasat almeidan.
Hapo ujuwe mshalamba moja. Lakini Ukisikia gol halafu kimyaaaaaaaa, ujuwe mshawalambisha moja.
Ushindi ni ushindi
Nilidhani amekimbia Makambo...Kumbe Kamusoko. Haina shida katika hilo.Hamna kitu,kina kamusoko washakimbia na uchaguzi unakuja na viongozi wapya,naona anguko kubwa la watani wa jadi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Yanga hii hao ni BKaseke,Buswita,Mwinyi Hajj,Matteo Antony nk nao ni YANGA B