Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Wachezaji wengi wa Simba ni viwango,siyo kama timu b yenu wanaingia hata majina hawajulikani,simba imesajili wachezaji wenye majina na viwango,hata wawe timu b mtawaona kama timu AZana,Mlipili,Kwasi to mention few ni Simba B? Yaani nyie hata professionals mnawapeleka mapinduzi?
Sent using Jamii Forums mobile app