Simba wakaa kikao cha dharula kumuua Mualgeria

Simba wakaa kikao cha dharula kumuua Mualgeria

Zana,Mlipili,Kwasi to mention few ni Simba B? Yaani nyie hata professionals mnawapeleka mapinduzi?
Wachezaji wengi wa Simba ni viwango,siyo kama timu b yenu wanaingia hata majina hawajulikani,simba imesajili wachezaji wenye majina na viwango,hata wawe timu b mtawaona kama timu A

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimeona aibu wale watoto wa Simba wanafanya sub wakabadirishana shin guard...Timu tajiri kabisa....Mo kama aliona kesho kuna mtu anafukuzwa kazi...
Hawa Mikia utawaweza ujuaji mwingi sana mkuu
 
Sawa mwarabu.....inshallah.....niongezee vocabularies kesho nina wageni uwanja wa Taifa
Helwa, helwa, helwaAAAAAaaaaaaaq gooooooolllllllllll.

Ya salaam ya salaam goool adhyim jidan min wasat almeidan.

Hapo ujuwe mshalamba moja. Lakini Ukisikia gol halafu kimyaaaaaaaa, ujuwe mshawalambisha moja.
 
Helwa, helwa, helwaAAAAAaaaaaaaq gooooooolllllllllll.

Ya salaam ya salaam goool adhyim jidan min wasat almeidan.

Hapo ujuwe mshalamba moja. Lakini Ukisikia gol halafu kimyaaaaaaaa, ujuwe mshawalambisha moja.
Wapi sasa wenyeji(Mikia) au?
 
Hamna kitu,kina kamusoko washakimbia na uchaguzi unakuja na viongozi wapya,naona anguko kubwa la watani wa jadi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani amekimbia Makambo...Kumbe Kamusoko. Haina shida katika hilo.

Halafu kuhusi anguko,

Ushawahi sikio wale wafuasi waliokuwa wanamgoja Yesu Kristo Airport. Hawana tofauti na wewe unayengoja anguko la Yanga SC.

Ili hali kila mtu anajua kuwa hata Yanga iwe kwenye matatizo kiasi gani dozi za uwanjani lazima ziendelee kutolewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom