Simba wakaa kikao cha dharula kumuua Mualgeria



Tangu lini kwenye kikosi cha kwanza cha Zahera ukamkuta Buswita..?

Buswita na akina Matheo wana tofauti gani na wakina Mlipili na Salamba.

Kataa ukubali, Kama ungeanza michuano hii na kikosi hiki usingeshinda hata mechi moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team zolizofika nusu fainali means zote ni nzuri ndio maana vibonde wametolewa kwa hiyo simba B ilipewa majukumu mazito zaidi kuliko yaliyopita

Sent using Jamii Forums mobile app


Mbona hamkupeleka kukosi B kama Yanga vile wamefanya?

Au hamkiamini?

Kwanini imehitajika support ya kikosi kikuu kuwafikisha nusu fainali?

[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
STENDI matokeo vipi?
Kariobangi matokeo vipi?
Bikira imevunjwa kila mtu anajilia uwe mwenyeji au mgeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…