demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Hapana. Kikosi chetu. Cha Vijana (Namaanisha wale wote waliopelekwa zenji) hakikuhitaji support ya kikosi kikuu cha Zahera hata kufika nusu fainali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cigarette is a pinch of tobacco rolled in a piece of paper with fire on one end and a fool on the other end,
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga Pius buswita ni B ,by the way timu b inaorodhesha wale wote hawapewi kipaombele kwenye timu A,simba walioachwa Zenji ndo timu b sijui unalazimisha nini,kama kuna mchezaji timu A basi kuanzia Jana angeshakuwa Dar.
Ndegelec nye vyura haswa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaseke,Buswita,Mwinyi Hajj,Matteo Antony nk nao ni YANGA B
Team zolizofika nusu fainali means zote ni nzuri ndio maana vibonde wametolewa kwa hiyo simba B ilipewa majukumu mazito zaidi kuliko yaliyopita
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuona hpa Taifa umebebeshwa bendera ya saoura yani ww ni fungu la kukosa, alaf unamkosi kila timu unayoishabikia lzma ifungwe, uliwabeba nkana kwa mbeleko, lkn mwisho wa cku wekundu wa Terminal tukafanya yetu
Unakumbuka darsa, msikilize sasa Mwarabu halafu rudia darsa langu hapo juu kidogo, yote ni takriban yale yale...Wapi sasa wenyeji(Mikia) au?
Eti matokeo vipi?