Simba wakaa kikao cha dharula kumuua Mualgeria

Simba wakaa kikao cha dharula kumuua Mualgeria

Yanga Pius buswita ni B ,by the way timu b inaorodhesha wale wote hawapewi kipaombele kwenye timu A,simba walioachwa Zenji ndo timu b sijui unalazimisha nini,kama kuna mchezaji timu A basi kuanzia Jana angeshakuwa Dar.

Ndegelec nye vyura haswa

Sent using Jamii Forums mobile app


Tangu lini kwenye kikosi cha kwanza cha Zahera ukamkuta Buswita..?

Buswita na akina Matheo wana tofauti gani na wakina Mlipili na Salamba.

Kataa ukubali, Kama ungeanza michuano hii na kikosi hiki usingeshinda hata mechi moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Team zolizofika nusu fainali means zote ni nzuri ndio maana vibonde wametolewa kwa hiyo simba B ilipewa majukumu mazito zaidi kuliko yaliyopita

Sent using Jamii Forums mobile app


Mbona hamkupeleka kukosi B kama Yanga vile wamefanya?

Au hamkiamini?

Kwanini imehitajika support ya kikosi kikuu kuwafikisha nusu fainali?

[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
STENDI matokeo vipi?
Kariobangi matokeo vipi?
Bikira imevunjwa kila mtu anajilia uwe mwenyeji au mgeni.
 
Back
Top Bottom