Simba wakati wa Kurudi pitieni Tanga au Mombasa

August

Platinum Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
10,983
Reaction score
7,157
Ndugu zangu Wana Simba wakati wa Kurudi pitieni Tanga au Mombasa. Amasivyo kwenye ligi tutafungwa tena
 
Simba wasajili waache janjajanja la sivyo nyuma mwiko watatawala sana hii ligi
 
Tanga kuweka Kambi au kuroga ? Mpk 2026 bado unaamini uchawi?
 
1. Golikipa hatoshi.
2. Beki wa kushoto (kata maema)
3. Kiungo No 6
(Kata katleso)
4. Mshambuliaji No 9
(Kata DUMBIA)

Magori ndio kichaa Kabisa hajui hata kusajili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…