Simba wakifungwa mechi moja tu, wachee na kocha wake wote wataondoka, mwakani wanaanza upya tena

Simba wakifungwa mechi moja tu, wachee na kocha wake wote wataondoka, mwakani wanaanza upya tena

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
Simba imefanya usajili mkubwa sana. this season, kuna MVP kwenye mid field na MVP defence. top striker mbele pale. amazing lakred nyuma pale.

Issue ni mechi moja tu mkifungwa tempo nzima ya timu inakufa. vita inaanza. mangungu out

I always say tatizo la simba ni mashabiki. they have best pool of football talents,

it's toxic fans pulling them back.

#mashabiki wa simba acheni ujuaji #fini
 
Back
Top Bottom