Simba wakiifunga Galaxy nipigwe ban

Simba wakiifunga Galaxy nipigwe ban

Japo Mimi ni mdau wa Michezo na napenda kuona timu za Tanzania zikitoboa kimataifa ila Kwa timu hii ya Simba ni ngumu kwenda robo fainali CAF champions league, kiwango ni kidogo sana, tutaaibika kimataifa.

Kiapo
Mimi kama Labani og nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu na declare Kwamba kama makolo wakishinda naomba nipigwe ban ya week on the spot.
NAKAZIA
 
Aisee Mkuu umetuchukia kweli Simba haya bahna wacha tupambane na hali yetu.🙋‍♂️🙋‍♂️
 
Mimi Yanga ila hii mechi kwa Simba ni nyepesi sana tena Makirikiri wakijichanganya vibaya watakufa zaidi ya Goli mbili hakuna Timu pale wao mechi ya kwanza tu wameshinda huko Ugenini na Wydad mpaka leo wapo na hizo hizo points hakuna cha maana walichofanya hao Asec wameenda kuchukua points nyumbani kwao inshort hilo kundi ni kawaida sana ndio maana pana Timu moja inaongoza ikiwa na 11 points inayofatia wana 6 points wakati makundi mengine wameachana points moja moja au wanalingana..
 
Ngoja tuone

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Js soura ilifungwa tatu ila CRB kapokea nne.
Pia Js soura ki rank iko chini na CRB iko juu ki rank hivyo CRB ni dude kubwa kuliko hata yanga yenyewe.
Yani Yanga kamfunga mtu ambae ana ubavu kuliko yeye.
Kwa sidhani kama angetoboa kwa CRB.
Simba aliongoza kundi akiwa na Al Ahly, nyie mpo nao ngoja tuone nini kitahappen
 
Kuongoza kundi sio kitu ni kawaida kaka,cha ajabu Al ahly akafika fainal simba akaishia robo.
Ila tuongee kimpira Simba angekua na Al ahly na Belouzdad kwa wakati mmoja weeeh kutoboa sio rahisi.
Hiyo medeama yenyewe inaupiga mwingi kiufupi Yanga ilipangiwa kundi gumu sana msimu huu.
 
Back
Top Bottom