Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
NAKAZIAJapo Mimi ni mdau wa Michezo na napenda kuona timu za Tanzania zikitoboa kimataifa ila Kwa timu hii ya Simba ni ngumu kwenda robo fainali CAF champions league, kiwango ni kidogo sana, tutaaibika kimataifa.
Kiapo
Mimi kama Labani og nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu na declare Kwamba kama makolo wakishinda naomba nipigwe ban ya week on the spot.
CC KalpanaKama ile Simba original ilikula tatu, hii tia maji tia maji tegemea lolota baya
Watu ni wanagongelea nyundo tu[emoji23]Acha kunisagia kunguni mkuu, wasipoona basi
[emoji23][emoji23]Kwa Maneno ya Ahmed Ally ya dharau na Mimi Simba akiifunga Galaxy Mods usikwepeshe naomba uninyooshe na ban, Simba anaenda kufa hio mechi
Simba hawatoboi kwakweliSimba akifuzu robo final nipigwe ban,nishachungulia kigamboni.
Toka nazaliwa sizijui pombe mkuuKwani bia bei gani mpaka unywe mipombe michafu!? Ona sasa unaandika upuuzi!
Hapana mkuu...Mimi sio popoma [emoji23]Hutobadili id?
Na watagongwa na galaxy ngoja uone
Umeniita ili iweje mtani?.sijacoment kwny huu uzi kwa sbb hainihusu apigwe ban asipigwe..yani hatupotezi kitu kwa kupigwa kwake ban iwe tumefungwa au tumefunga..
Sasa ndo uvute bangi!?
Lkn sidhani kama unapenda nipigwe banUmeniita ili iweje mtani?.sijacoment kwny huu uzi kwa sbb hainihusu apigwe ban asipigwe..yani hatupotezi kitu kwa kupigwa kwake ban iwe tumefungwa au tumefunga..
Aisee Mkuu umetuchukia kweli Simba haya bahna wacha tupambane na hali yetu.πββοΈπββοΈJapo Mimi ni mdau wa Michezo na napenda kuona timu za Tanzania zikitoboa kimataifa ila Kwa timu hii ya Simba ni ngumu kwenda robo fainali CAF champions league, kiwango ni kidogo sana, tutaaibika kimataifa.
Kiapo
Mimi kama Labani og nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu na declare Kwamba kama makolo wakishinda naomba nipigwe ban ya week on the spot.
Hapana mkuu...yote haya tunataka mpate hasira mpambaneAisee Mkuu umetuchukia kweli Simba haya bahna wacha tupambane na hali yetu.[emoji2321][emoji2321]
Ngoja tuoneMimi Yanga ila hii mechi kwa Simba ni nyepesi sana tena Makirikiri wakijichanganya vibaya watakufa zaidi ya Goli mbili hakuna Timu pale wao mechi ya kwanza tu wameshinda huko Ugenini na Wydad mpaka leo wapo na hizo hizo points hakuna cha maana walichofanya hao Asec wameenda kuchukua points nyumbani kwao inshort hilo kundi ni kawaida sana ndio maana pana Timu moja inaongoza ikiwa na 11 points inayofatia wana 6 points wakati makundi mengine wameachana points moja moja au wanalingana..
Simba aliongoza kundi akiwa na Al Ahly, nyie mpo nao ngoja tuone nini kitahappenJs soura ilifungwa tatu ila CRB kapokea nne.
Pia Js soura ki rank iko chini na CRB iko juu ki rank hivyo CRB ni dude kubwa kuliko hata yanga yenyewe.
Yani Yanga kamfunga mtu ambae ana ubavu kuliko yeye.
Kwa sidhani kama angetoboa kwa CRB.
Kuongoza kundi sio kitu ni kawaida kaka,cha ajabu Al ahly akafika fainal simba akaishia robo.Simba aliongoza kundi akiwa na Al Ahly, nyie mpo nao ngoja tuone nini kitahappen