Simba wakiifunga Galaxy nipigwe ban

Simba wakiifunga Galaxy nipigwe ban

Japo Mimi ni mdau wa Michezo na napenda kuona timu za Tanzania zikitoboa kimataifa ila Kwa timu hii ya Simba ni ngumu kwenda robo fainali CAF champions league, kiwango ni kidogo sana, tutaaibika kimataifa.

Kiapo
Mimi kama Labani og nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu na declare Kwamba kama makolo wakishinda naomba nipigwe ban ya week on the spot.
Active
 
Mods tekelezeni wajibu
 
Hii mbuzi bado ipo humu???
 
Cna mda wa kulala mtaniii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi mtani umemuonaa Chamaaaa? Kuna shabiki wa uto, aliropoka "huyu chama akiwa team 1 na pacome bas unyama sana"

Nkamkata juu kwa juu "na mtamsajiri kila mwaka ila anacheza simba, tutolee uchuro wa majini uchwara hapa" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watu wote wamecheka had baas, nilikua home, kipindi cha pili nkaenda zangu banda umiza nkasumbue vzuri waja.
Hahahaaa. Kama nakuona ulivyomshushua. Lol.

Ila ipo siku tu na hamtaamini. 😂😂
 
Back
Top Bottom