Simba wakiifunga Galaxy nipigwe ban

Simba wakiifunga Galaxy nipigwe ban

Japo Mimi ni mdau wa Michezo na napenda kuona timu za Tanzania zikitoboa kimataifa ila Kwa timu hii ya Simba ni ngumu kwenda robo fainali CAF champions league, kiwango ni kidogo sana, tutaaibika kimataifa.

Kiapo
Mimi kama Labani og nikiwa na akili timamu bila kushawishiwa na mtu na declare Kwamba kama makolo wakishinda naomba nipigwe ban ya week on the spot.
We uto haya chagua sasa mwenyewe ban ya miezi mingapi tukupe.
 
Atasikia😍
Atakuwepo next week kufactory settings za hekaheka 😀
Mambo yalianzia hapa Aunt
Jamaa alikua na furaha sana wakati akitoa ahadi🤣
 
Attachments

  • 8bc09e1eb1340902dd9b4d8a55d4ac23.mp4
    16.4 MB
Simba aliongoza kundi akiwa na Al Ahly, nyie mpo nao ngoja tuone nini kitahappen

Moderator ....naomba uzwi huu ufutwe ....kwani simu yangu alikuwa anachezea mtoto ......nahisi ndiye aliyepost haya .....

Mimi mwenyewe nmeshtuka[emoji32][emoji32][emoji22][emoji22]kuona hii thread ...

Mimi ni nani nimpinge mnyama[emoji250][emoji250] akiwa kimataifa [emoji32]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hahahahahaaaaa mbavu zangu
 
Pale mwanamke anapokataa mimba aliyoibeba kuwa si yake kama kijana wa hovyo anavyokataa mimba aliyompa beki tatu.
 
Back
Top Bottom