Simba wako SA dhidi ya Stellenbosch sisi tuko dhidi ya kikosi Cha valante Zanzibar (kvz)

Simba wako SA dhidi ya Stellenbosch sisi tuko dhidi ya kikosi Cha valante Zanzibar (kvz)

Msimu ujao tena kuna wachezaji kadhaa wa Simba wataachwa kwa hiyo muambie Engineer kutakuwa na madusko yakuzoa.

Na pia kama ataweza basi aanze na lile Duka la Far Rabat naskia halina furaha huko Morroco linataka kurudi bongo.

Kingine waambieni wachezaji wenu mnaowanyima nafasi wapunguze kufuta futa picha huko Instagram maana kwenye hii tournament ya Zanzibar ndio nafasi yao kutuoneshea makali yao.
 
Lazima turudi na kombe
 
Tulienda kumfata MAI WETU, lakini ametutoroka.
Tunamsubiri CRDB kama hatajivunja kwa SINGIDA BIG STAR
Crdb lazima tukutane nae pale kwa Singida na JKt patayumbishwa sana
Mdhamini anataka milage
 
Msimu ujao viongozi wasifanye huu mzaha tena wa sajili za ajabu hadi tunakosa kung'aa kimataifa
Injinia anasikilizia wachezaji wanaoachwa Simba ili aokoteze.
Msiwe na wasiwasi mtawapata tu
 
FB_IMG_17455178214855087.jpg
 
Msimu ujao viongozi wasifanye huu mzaha tena wa sajili za ajabu hadi tunakosa kung'aa kimataifa
Tatizo la Yanga mwaka huu siyo usajili bali ni mwanzo mbouu aliofanya Gamondi. Usajiii wa yanga ni mzuri sana hadi Simba wanaingia mitini kuogopa dabi. Ndiyo maana unaoina hadi leo wachezaji wa Yanga wanatafutwa na timu za nje kila siku wakati jirani yetu hapokei simu hata moja ya kuombwa mchezaji
 
Kuweka kumbukumbu sawa! Simba anashiriki hayo mashindano ya kombe la Luza, baada tu ya kushika nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi kuu msimu uliopita.
Yah ni kweli kabisa mi nasema sajili zitakazofanyika msimu huu basi ziwe za kiwango Cha kutufikisha sem kama ilivyokuwa kwa pyramid Jana
 
Back
Top Bottom