Simba wako SA dhidi ya Stellenbosch sisi tuko dhidi ya kikosi Cha valante Zanzibar (kvz)

Tatizo la Yanga mwaka huu siyo usajili bali ni mwanzo mbouu aliofanya Gamondi. Usajiii wa yanga ni mzuri sana hadi Simba wanaingia mitini kuogopa dabi. Ndiyo maana unaoina hadi leo wachezaji wa Yanga wanatafutwa na timu za nje kila siku wakati jirani yetu hapokei simu hata moja ya kuombwa mchezaji
Hapo kwa mwanzo mbaya wa gamond unaweza kunipa mwanga kidogo!?
 
Ni sawa na mtu kumuoa mtalaka wako, hakuna kitu ambacho hukijui kuhusu mtalaka, hata huyo mume mpya ajigambe vipi, awali ni awali...
 
Yanga isipofanya uamuzi mgumu kuacha wachezaji wazee na wasiokuwa na msaada na timu hasa kwenye mashindano ya CAF ,mwakani Yanga itaenda kuaibika.

wachezaji kama Chama,Mkude,Andambwile,Sure Boy,Musonda,Faridi Musa,Mwenda,Kibwana hata Azizi K muda wa kukaa Yanga umetosha.

Yanga iache kuchukua makapi ya Simba ni aibu sana isajili wachezaji hodari wenye viwango vya mashindano ya Klabu bingwa Afrika.

Pia idara ta habari imeshindwa kuibrand Yanga ,inaleta aibu wanavyoshindwa kuhamasisha kujaza uwanja Yanga inapokuwa na mechi muhimu ,pia muda mwingi Ali Kamwe ana post na kuongea vitu vingi visivyousadia timu ya Yanga ,muda mwingi Kamwe yupo busy kumsifia Hersi kulinda kibarua chake.

Yanga pesa Sasa zipo wafadhili kibao mapato yameongezeka uwezo wa kusajili wachezaji wazuri upon Tena msajili wachezaji wenye umri mzuri miaka 22-26 .
 
Kamwe anajitahidi kujijenga yeye na sio yanga
Ni kweli Kuna safisha kubwa sana inatakiwa kufanywa pale lakini Sasa sio kuleta kina ikangalombo au Boca kama mbadala
 
Yanga isipofanya uamuzi mgumu kuacha wachezaji wazee na wasiokuwa na msaada na timu hasa kwenye mashindano ya CAF ,mwakani Yanga itaenda kuaibika.

wachezaji kama Chama,Mkude,Andambwile,Sure Boy,Musonda,Faridi Musa,Mwenda,Kibwana hata Azizi K muda wa kukaa Yanga umetosha.

Yanga iache kuchukua makapi ya Simba ni aibu sana isajili wachezaji hodari wenye viwango vya mashindano ya Klabu bingwa Afrika.

Pia idara ta habari imeshindwa kuibrand Yanga ,inaleta aibu wanavyoshindwa kuhamasisha kujaza uwanja Yanga inapokuwa na mechi muhimu ,pia muda mwingi Ali Kamwe ana post na kuongea vitu vingi visivyousadia timu ya Yanga ,muda mwingi Kamwe yupo busy kumsifia Hersi kulinda kibarua chake.

Yanga pesa Sasa zipo wafadhili kibao mapato yameongezeka uwezo wa kusajili wachezaji wazuri upon Tena msajili wachezaji wenye umri mzuri miaka 22-26 .
Wewe unaandika hivi wakati wenzio wako mbioni kumsajili Inonga kwenye dirisha lijalo, na imesha thibitika kwamba Feisal anarudi nyumbani na Sowah naye anakuja huko huko, msijali kuna wachezaji Simba wanawaachia dirisha lijalo jiandaeni kuwapokea kama kawaida yenu
 
Hapo ndipo Hersi anapochemsha ,Inonga anaelekea ukingoni pia Inonga atailetea Yanga usimba Simba kitu ambacho kitaharibu Hali ya hewa Jangwani hii inaonyesha Hersi Hana vyanzo vingi vya wachezaji.

Hata Feisal sio wa kusajiliwa Tena Yanga ,ameshaonyesha ubinafsi kama angekuwa mchezaji wa maana angewasaidia Azam mashindano ya Klabu bingwa Afrika ,APR ya Rwanda tu Feisal alishindwa kufurikuta wa Nini sasa mchezaji kama huyo,tumeziona Orlando,Pyramids,Mamelod ,Al Ahly viwango vyao timu kama MC Alger iliitoa Yanga kamasi Leo unataka kumrudisha Feisal wa nini?

Ni rahisi kusema unataka kucheza Final CAFCL lakini kivitendo unasajili magarasa mwisho wao ni kuzifunga timu za NBC ligi kuja CAF madudu matupu ,Hersi kutumia mawakala wanaotumiwa na Simba pia ,yeye kutwa anazurura Africa haoni mawakala na wachezaji wengine. Ule usajili wa mwanzo wa Akina Azizi k,Max,Diarra,Pacoume,Lomalisa /Boka miaka 3 iliyopita Hawa wachezaji wameshatumika waliifikisha Yanga Final CAF Shirikisho sasa hivi wameshatumika na kuchoka ukilazimisha waendelee kubaki Yanga ni kushindwa kujua alama za nyakati.

Yanga haitaji wachezaji waliopitia Simba .Hamuwaoni Simba wameshabadilika hawataki mchezaji yoyote mwenye nasaba na timu ya Yanga,mchezaji kama Inonga mwenye tuhuma za kununulika hulka hiyo Huwa haitoki inakuwa tabia ya mchezaji akija Yanga atakuwa duka na chanzo Cha kuhujumu timu,Hersi aache tabia ya kukomoana na Simba katika usajili wa wachezaji ,Hersi amepata madaraka makubwa Yanga ayatumie kwa umakini kufika robo ,Semi na Final mashindano ya CAF sio lelemama .

Yanga wasiwe wazito kuvunja timu ,Simba walipigiwa makelele kama timu Yao imechoka baada ya kufanya vizuri mfululizo CAF na akina Bocco wakijasahau kutengeneza timu wakajikuta wameishi no 3 na kuangukia shirikisho ndicho kitachowakuta Yanga kama Yanga ikashupaza shingo ikiendelea na ngonjera kwamba eti Yanga ni timu imara ina uimara Gani ,timu iliyoishia makundi CAFCL unasema imara maneno ya wachambuzi njaa wanaoishi kwa kupewa bahasha ili kusifia timu na wachezaji kutwa huku Hali halisi timu zetu Bado katika kuchukua makombe Africa.
 
Tatizo la Yanga mwaka huu siyo usajili bali ni mwanzo mbouu aliofanya Gamondi. Usajiii wa yanga ni mzuri sana hadi Simba wanaingia mitini kuogopa dabi. Ndiyo maana unaoina hadi leo wachezaji wa Yanga wanatafutwa na timu za nje kila siku wakati jirani yetu hapokei simu hata moja ya kuombwa mchezaji
Hayo yote yameisadia nini kwenye CAF Champion League? Ni aibu sana kuishia makundi japo huwa mnasema Mwakarobo lakini Mwakarobo ni nafuu sana kuliko Mwakakikundi
 
Wewe unaandika hivi wakati wenzio wako mbioni kumsajili Inonga kwenye dirisha lijalo, na imesha thibitika kwamba Feisal anarudi nyumbani na Sowah naye anakuja huko huko, msijali kuna wachezaji Simba wanawaachia dirisha lijalo jiandaeni kuwapokea kama kawaida yenu
Sowah na Faisal ni usajili mzuri kiasi chake ila hautatupeleka nusu final ya cafcl ila Enonga hapana hili nitaongea na Eng Moja kwa Moja
 
Hayo yote yameisadia nini kwenye CAF Champion League? Ni aibu sana kuishia makundi japo huwa mnasema Mwakarobo lakini Mwakarobo ni nafuu sana kuliko Mwakakikundi
Inafika hatua hadi tunasahau kama mashindano yapo au yameisha viongozi wajitafakari Moja ya malengo ilikuwa angalau kufika nusu au basi kuishia robo ila makundi tu Chali tena kwenye kundi laini ambalo tulipaswa kuongoza
Je tungekuwa kundi la Alhy na Orlando!?
 
Back
Top Bottom