Simba walienda uwanjani kutafuta sababu ya kugoma kucheza, waadhibiwe tu

Yanga ilicheza na tabora wakiwa na majeruhi kibao na kadi. Kama wangekuwa Simba wangekula kona.
Vipi walipocheza na JKT,hao majeruhi walikuwepo?hao majeruhi ndio wamefanya wakatolewa kimataifa? wakati mnaota kuifunga Simba 7-0,Lini hiyo timu yako iliifunga Simba 5-0 tu?mmefungwa 5-0 hamjalipa hadi sasa, achilia mbali zile 6
Unafahamu kuwa bodi ya ligi inawasubiri Camara na Che malone wapone ndio wapange tarehe ya mchezo kurudiwa?
Kwa ushahidi upi?Unafahamu kuwa Yanga waliloga sana uwanja kwa kufukia matunguli na Simba usiku ule walikwenda kufukua matunguli yenu ndio maana makomandoo wa Yanga walijigeuza walinzi wa uwanja wakilinda matunguli?Manawezaje kuruka ukuta kwenye mechi liyoahirishwa na mpo peke yenu?
 
Hakuna namna Yanga watapata points 3 za mezani,points zinapatikana uwanjani,wanasema Simba waliogopa kufungwa lakini wao wanafanya uoga ule ule.Walioandika ile taarifa ya bodi wana akili sana,Yanga hawana sehemu ya kutokea kwa sababu kanuni waliyoinukuu inawapa mamlaka ya kuahirisha mechi na kitengo cha sheria cha Yanga kinafahamika kwa uwezo wake mdogo
 
💩
 
Hakuna uchawi kwenye mpira, ila Kuna dawa za kusisimua misuli na kulegeza misuli(pulizapuliza vyumbani kwa mpinzani). Uchawi ni hisia TU kama zile za kinjekitile na vita vya majimaji vya risasi kugeuka maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…