Simba walitoa taarifa rasmi kwa timu mwenyeji kuwa saa 1:15 watautumia uwanja?

Inaonekana tunaongea lugha moja ila tu hujanielewa
 
kwenye mpira wa miguu tunaesabu siku kwa mfumo wasaa 24 Simba yuko sahihi kabisa kwa alichofanya
 
kwenye mpira wa miguu tunaesabu siku kwa mfumo wasaa 24 Simba yuko sahihi kabisa kwa alichofanya
Kama tunahesabu kwa mfumo wa saa 24, simba ana makosa yeye,na hatakiwi kumlaumu yoyote,maana kanuni inamruhusu mgeni kuutumia uwanja utakaotumika angalau mara moja KABLA YA SIKU YA MCHEZO.
hivyo ukiifata kanuni,simba muda wao wa mwisho kuutumia uwanja ilitakiwa kuwa saa1:14:59. Kama mfumo unaotumika ni wa masaa 24.
Maana Kama mchezo ni saa 1:15,na wao wanadai walienda uwanjani saa 1:15 ,basi hawakwenda SIKU MOJA KABLA,bali walienda siku husika.
 

Unamwuuliza nani wewe bwegele
 
Basi Watanzania washapata content,hii itaenda mwezi mzima, itakua Yanga,Simba, TFF
 
Kwenye uchawi kila konki ina konki mwenzie,hata mganda anarogwa,ndio maana mganga akiona umempelekea ishu ngumu akufukuza
Na yanga walijua Simba walikuwa kupindua uchawi mwishoni wakavuruga kikomando.
 
Simba waache kuendekeza vitendo vya ushirikina. Ona sasa wametuletea hasara kwa kuahirisha mechi, kisa tu mazindiko ya kichawi yalizuiliwa kuingizwa uwanjani.
 
kwani utopolo kanuni hamjui?taarifa ya nini?mfiche tunguri zenu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…