Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,271
- 2,903
Sijaelewa, kwanini Ali Kamwe ahangaishwe na ukimya wa Simba? Nimekuja gundua wakati sisi Yanga tunahangaika sana na hii mechi wenzetu wanaichukulia ni mechi ya kawaida tu.
Hawajaamua kuwekeza nguvu nyingi sana, jambo ambalo pia ni kama limeanza kututesa. Ali Kamwe limemgusa, anaona kama jamaa wamenyamaza na hawatoi kiki. Yanga nasi tujikite katika mechi za Kimataifa zaidi.
Najua povu litawatoka watu, acha limwagike tu.