Simba wameamua kupuuzia mechi na Yanga? Hili jambo nalo pia linatutesa sisi Yanga

Simba wameamua kupuuzia mechi na Yanga? Hili jambo nalo pia linatutesa sisi Yanga

Kama wazazi wako waliuza ng'ombe kukupeleka shule basi watakuwa waliuza ng'ombe kupeleka ng'ombe nyinge shuleni!!!.

Simba kwa mechi hiyo Hana anachokihitaji nje ya kupata MATOKEO uwanjani, Yanga ndiye mwenyeji wa mchezo anachofanya nikutaka kupata mapato. Hivyo roho za kijinga na ujuha wa mpira wetu Simba inadhani inamkomoa yanga lakini kumbe ni upuuzi coz kwa uhalisia Wtz sasa wanapenda mpira na watu wanakwenda uwanjani bila hata hamasa zao.

Punguza ujuha!!
 
Back
Top Bottom