Sijaelewa. Why Ali Kamwe ahangaishwe na Ukimya wa Simba? Nimekuja gundua wakati sisi Yanga tunahangaika sana na hii match wenzetu wanaichukulia ni match ya kawaida tu.
Hawajaamua kuwekeza nguvu nyingi sana. Jambo ambalo pia ni kama limeanza kututesa. Ali Kamwe limemgusa. Anaona kama jamaa wamenyamaza na hawatoi kiki. Yanga nasi tujikite katika matches za Kimataifa zaidi.
Najua povu litawatoka watu...acha limwagike tu.
Ila ushindi lazimaMkuu.. Mnyama Mkali Mwituni Simba SC mawazo yake makuu ni Giant gani mwenzake atapangwa nae katika Group za CAFCL.
Tarehe 23/10 Simba SC atakua anafanya mazoezi na kuwapa nafasi ya kucheza wachezaji kama Akpan, Okwa na Kapama ambao hua hawapati mda sana wa kucheza.
Ila ushindi lazima
Naendelea kuthibitisha umbumbumbu wa mashabiki wa nchi hii.Sijaelewa. Why Ali Kamwe ahangaishwe na Ukimya wa Simba? Nimekuja gundua wakati sisi Yanga tunahangaika sana na hii match wenzetu wanaichukulia ni match ya kawaida tu.
Hawajaamua kuwekeza nguvu nyingi sana. Jambo ambalo pia ni kama limeanza kututesa. Ali Kamwe limemgusa. Anaona kama jamaa wamenyamaza na hawatoi kiki. Yanga nasi tujikite katika matches za Kimataifa zaidi.
Najua povu litawatoka watu...acha limwagike tu.
Wekeni kina Okwa mpigwe ndo mtaona ukali wa mashabiki wa Simba. Kama mashabiki walisababisha timu kuondoka uwanjani baada ya dk45 tu baada ya kupigwa 4 kabla ya halftime itakuwa kipindi hiki ambacho kila kitu kinakuwa live?Mkuu.. Mnyama Mkali Mwituni Simba SC mawazo yake makuu ni Giant gani mwenzake atapangwa nae katika Group za CAFCL.
Tarehe 23/10 Simba SC atakua anafanya mazoezi na kuwapa nafasi ya kucheza wachezaji kama Akpan, Okwa na Kapama ambao hua hawapati mda sana wa kucheza.
Derby ni 23/10/2022 LUPASO saa 11 jioniKwani kuna mechi na Yanga hivi karibuni?
Alaa kumbe ndiyo maana watopolo wanahangaika kama kuku anayetaka kutaga.Derby ni 23/10/2022 LUPASO saa 11 jioni
Huyo Mzee ni mhuni fulani tu hivi anatafuta namna ya kumtoa upepo Msomali wa UtopoloIla nasikia mzeee mpili jana kaonekana taifa na vimfuko kama kawaida yake. Ngoja tuone itakuwaje
Kweli Mashabiki wa Yanga ni wajingaWekeni kina Okwa mpigwe ndo mtaona ukali wa mashabiki wa Simba. Kama mashabiki walisababisha timu kuondoka uwanjani baada ya dk45 tu baada ya kupigwa 4 kabla ya halftime itakuwa kipindi hiki ambacho kila kitu kinakuwa live?