Simba wameanza kuweweseka asubuhi na mapema

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari!

Jana nimepata nafasi kumsikiliza kiongozi wao Mzee Zacharia Hanspope unaona kabisa hawa watani wetu wamekuwa kama mfa maji.

Mfa maji hakosi kutapatapa sasa ndio wamefikia hatua hiyo.

Na hii ni mechi ya nane mnaweweseka namna hii mara kufukuza wapishi ndani ya team.

Mara mnatafuta mchawi anaetoa taarifa za team kwa wapinzani.

Wameng'ang'ania kulaumu referees hamna kingine ukiwauliza mechi ipi? Unasikia mechi dhidi ya Tanzania Prison, Sumbawanga

Wanasahau kuna mechi ya Ruvu Shooting walipapaswa vizuri na kusahau kutafuta mwarubaini wa kupoteza hiyo mechi.

Sasa watani jiandaeni November 7 huko kuweweseka kwenu asubuhi hii wakati dawa bado hajawaingia vizuri na siku ya derby tutaongeza dawa iwaingie vizuri.

Na kama ni kisu basi siku hiyo siku kinagusa mfupa.
 
Utopolo ni utopolo tu taree7 ndo utajua kama wanaweweseka saizi tuliza kishundu
 
Ile clip ya Hans Poppe imeonyesha dhahiri ni mtu wa aina gani. Kifupi ni mjinga sana.
Eti wamesajili kushinda tu labda itokee sare.
Huo mpira upo Dunia ipi?
Aseme wanesajili marefa labda. Ni kawaida yao.
 
We ndo mjinga sana, sasa unasajili timu ili ushindwe, kuna haja gani ya kua na timu ili ushindwe? Kila timu malengo ni kushinda tu, hayo mengine ni matokeo ya mchezo.
Au uelewi nini maana ya malengo
 
We ndo mjinga sana, sasa unasajili timu ili ushindwe, kuna haja gani ya kua na timu ili ushindwe? Kila timu malengo ni kushinda tu, hayo mengine ni matokeo ya mchezo.
Au uelewi nini maana ya malengo
Wewe mbumbumbu, unasajili ili ufanye vizuri ubebe ndoo mwisho wa msimu.
Huwezi kusajili eti ushinde kila mechi. Mpira wa wapi huo? Unajua maana ya ligi?
 
Viongozi wa pumbafu kawa hawa wamekaa kishabiki sana.

Nilimsikiliza nikabaki nashangaa kwa ule ushabiki alikuwa anaongea.

Hataki hata kuwa na rafiki wa team pinzani.
Ile clip ya Hans Poppe imeonyesha dhahiri ni mtu wa aina gani. Kifupi ni mjinga sana.
Eti wamesajili kushinda tu labda itokee sare.
Huo mpira upo Dunia ipi?
Aseme wanesajili marefa labda. Ni kawaida yao.
 
Hivi umesikiliza hiyo conversation ya Hanspope?

Au umeandika tu kulingana na hiyo post ya mkuu?
We ndo mjinga sana, sasa unasajili timu ili ushindwe, kuna haja gani ya kua na timu ili ushindwe? Kila timu malengo ni kushinda tu, hayo mengine ni matokeo ya mchezo.
Au uelewi nini maana ya malengo
 
Yule si kiongozi ni shabiki!
Wewe mbumbumbu, unasajili ili ufanye vizuri ubebe ndoo mwisho wa msimu.
Huwezi kusajili eti ushinde kila mechi. Mpira wa wapi huo? Unajua maana ya ligi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…