Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Habari!
Jana nimepata nafasi kumsikiliza kiongozi wao Mzee Zacharia Hanspope unaona kabisa hawa watani wetu wamekuwa kama mfa maji.
Mfa maji hakosi kutapatapa sasa ndio wamefikia hatua hiyo.
Na hii ni mechi ya nane mnaweweseka namna hii mara kufukuza wapishi ndani ya team.
Mara mnatafuta mchawi anaetoa taarifa za team kwa wapinzani.
Wameng'ang'ania kulaumu referees hamna kingine ukiwauliza mechi ipi? Unasikia mechi dhidi ya Tanzania Prison, Sumbawanga
Wanasahau kuna mechi ya Ruvu Shooting walipapaswa vizuri na kusahau kutafuta mwarubaini wa kupoteza hiyo mechi.
Sasa watani jiandaeni November 7 huko kuweweseka kwenu asubuhi hii wakati dawa bado hajawaingia vizuri na siku ya derby tutaongeza dawa iwaingie vizuri.
Na kama ni kisu basi siku hiyo siku kinagusa mfupa.