koboG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2016
- 2,763
- 5,167
Week ijayo ni ya maumivu kwa vyura woteBado siku 2 tulia hivyo hivyo dawa ikuingie!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Week ijayo ni ya maumivu kwa vyura woteBado siku 2 tulia hivyo hivyo dawa ikuingie!
Week ijayo ni ya maumivu kwa vyura woteBado siku 2 tulia hivyo hivyo dawa ikuingie!
Hata jina alilowaita Rage linawafaa sana watu aina ya Hans PopeNamna anavyo zungumza MO kuhusu soka nimeamini uyu jamaa hajuilolote kuhusu soka, pia Nina wasiwasi ata biashara anazo endesha kuna watu wazuri kwenye uendeshaji wa kampuni za familia yake ambao Wana msaidia, Hans Pop naye Kama MO upstair hamna kitu Ila kunawatu smart Wana msaidia kukwepa kodi na ujanjaujanja wa mjini ndio maana anaweza kumudu kuendesha ma kampuni.
Kwa ujumla awa jamaa wakiwa wanaongea utagundua kichwani kuna vitu haviendani na status zao. Kwenye masuala ya soka ndio hamna kitu kabisa.
Ismail Lage japo ni mjanjamjanja anawaacha mbali sana awa jamaa katika uelewa wa mambo kwa ujumla wake.
Week ijayo ni ya maumivu kwa vyura wote
Namna anavyo zungumza MO kuhusu soka nimeamini uyu jamaa hajuilolote kuhusu soka, pia Nina wasiwasi ata biashara anazo endesha kuna watu wazuri kwenye uendeshaji wa kampuni za familia yake ambao Wana msaidia, Hans Pop naye Kama MO upstair hamna kitu Ila kunawatu smart Wana msaidia kukwepa kodi na ujanjaujanja wa mjini ndio maana anaweza kumudu kuendesha ma kampuni.
Kwa ujumla awa jamaa wakiwa wanaongea utagundua kichwani kuna vitu haviendani na status zao. Kwenye masuala ya soka ndio hamna kitu kabisa.
Ismail Lage japo ni mjanjamjanja anawaacha mbali sana awa jamaa katika uelewa wa mambo kwa ujumla wake.
Kwani mbali mkuu.Jipe moyo na kujidanganya!
Nyonta njema.........??? ,imeisha iyo Leo tusha chukua point 3 next utopoloEndelea kuweweseka mchana kweupe!
Yule gsm aliyetangaza kufilisika akabadili jina ndio mlipaji mzuri wa kodi, ipo haja ya kuwashitaki TFF kwa adhabu waliyompa Eymael kimakosaNamna anavyo zungumza MO kuhusu soka nimeamini uyu jamaa hajuilolote kuhusu soka, pia Nina wasiwasi ata biashara anazo endesha kuna watu wazuri kwenye uendeshaji wa kampuni za familia yake ambao Wana msaidia, Hans Pop naye Kama MO upstair hamna kitu Ila kunawatu smart Wana msaidia kukwepa kodi na ujanjaujanja wa mjini ndio maana anaweza kumudu kuendesha ma kampuni.
Kwa ujumla awa jamaa wakiwa wanaongea utagundua kichwani kuna vitu haviendani na status zao. Kwenye masuala ya soka ndio hamna kitu kabisa.
Ismail Lage japo ni mjanjamjanja anawaacha mbali sana awa jamaa katika uelewa wa mambo kwa ujumla wake.
Nyonta njema.........??? ,imeisha iyo Leo tusha chukua point 3 next utopolo
Mikia bado wana mpira wa kizamani sana,mara wadai wanaonewa,mara wadanganye majeruhi,mind game ya kipumbavu sanaHabari!
Jana nimepata nafasi kumsikiliza kiongozi wao Mzee Zacharia Hanspope unaona kabisa hawa watani wetu wamekuwa kama mfa maji.
Mfa maji hakosi kutapatapa sasa ndio wamefikia hatua hiyo.
Na hii ni mechi ya nane mnaweweseka namna hii mara kufukuza wapishi ndani ya team.
Mara mnatafuta mchawi anaetoa taarifa za team kwa wapinzani.
Wameng'ang'ania kulaumu referees hamna kingine ukiwauliza mechi ipi? Unasikia mechi dhidi ya Tanzania Prison, Sumbawanga
Wanasahau kuna mechi ya Ruvu Shooting walipapaswa vizuri na kusahau kutafuta mwarubaini wa kupoteza hiyo mechi.
Sasa watani jiandaeni November 7 huko kuweweseka kwenu asubuhi hii wakati dawa bado hajawaingia vizuri na siku ya derby tutaongeza dawa iwaingie vizuri.
Na kama ni kisu basi siku hiyo siku kinagusa mfupa.
Mikia bado wana mpira wa kizamani sana,mara wadai wanaonewa,mara wadanganye majeruhi,mind game ya kipumbavu sana