Simba wameanza kuweweseka asubuhi na mapema

Namna anavyo zungumza MO kuhusu soka nimeamini uyu jamaa hajuilolote kuhusu soka, pia Nina wasiwasi ata biashara anazo endesha kuna watu wazuri kwenye uendeshaji wa kampuni za familia yake ambao Wana msaidia, Hans Pop naye Kama MO upstair hamna kitu Ila kunawatu smart Wana msaidia kukwepa kodi na ujanjaujanja wa mjini ndio maana anaweza kumudu kuendesha ma kampuni.
Kwa ujumla awa jamaa wakiwa wanaongea utagundua kichwani kuna vitu haviendani na status zao. Kwenye masuala ya soka ndio hamna kitu kabisa.
Ismail Lage japo ni mjanjamjanja anawaacha mbali sana awa jamaa katika uelewa wa mambo kwa ujumla wake.
 
Hata jina alilowaita Rage linawafaa sana watu aina ya Hans Pope
 
Ukweli mchungu kumeza mkuu.
 
Yule gsm aliyetangaza kufilisika akabadili jina ndio mlipaji mzuri wa kodi, ipo haja ya kuwashitaki TFF kwa adhabu waliyompa Eymael kimakosa
 
Mikia bado wana mpira wa kizamani sana,mara wadai wanaonewa,mara wadanganye majeruhi,mind game ya kipumbavu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…