Udhaifu wa enka yake,kuruka juu inabidi uagane na nyonga,anaogopa kutua vibaya chini..ni mchezaji mzuri ila fitness yake ina mapungufuKapombe kafungisha goli kama lile lile alilofungisha ktk mechi ya Dodoma Jiji. Haruki juu hata kidogo.
Lwanga, mkude na bwalya ni viungo wakabaji wote walicheza mechi moja ona sasaTuache unafik ndugu yangu kapombe hakua sawa ata kuna wengine wamekosea usikatae na yy kukosolewa kuna mipira kama mitatu kapombe ilimpita kwa kujisahau ,la msingi tuseme ukwel uwezo wa wachezaj wa simba umeishia pale hawana wachezaj wa kucheza nusu fainal ila ni majuto sana maana katika miaka ya iv karibun naona mwaka huu simba kama wangezid kujipanga wangefika mbal ila mazoea yamewaponza kuna hatua ktk mpra uitaj wachezaj wanaotegemea maelezo ya kocha tu nimekua niikifuatilia simba ina aina moja tu ya mpra pasi ni hatar sana ktk hatua kama ya kwenda nusu fainal ni hatua kubwa unaitaj wachezaj ambayo wanaweza kubadilka kulingana na mazingra ,yote kwa yote viongoz wajifunze na wajue mpra sio kukaa hotel za nyota 5 au kuaid bonus unaitaj kwanza wachezaj karbu kum ambao wapo imara kwa kila sehem mfano simba ata ktk lig ya ndan ni udhaifu tu wa wachezaj wa timu nyngine ila simba ina matatzo kila eneo ni hii yote kuoneana aibu na kuendelea kuwakumbatia kila mchezaj mm bado naona simba inaitaj kiungo ambae machachar zaid ya lwanga na aliekua shap pia bek wawa kapombe wanaitaj wasaidiz kuwazd wao ambao wanaweza kucheza mipira ya juu na chin upande wa mawinga sina tatzo nako ila pale mbele tukubal tu zama za boko na kagere zimeisha lazma wapate mtu kumzd mugalu ambae mwenyewe tu atakua na uwezo wa kutumia ata nafas chache ,na uwezo wa kuwasaidia wenzie na pia bado simba wanashindwa kusaidiana asa asa katika mipira ya kona na kros na fauro viungo na mabek linapokuja suhala la kukaba ni wavivu mwaka wa tatu huu tatzo ilo bado lipo ,bado najiulza simba washakubal timu yao nzur ad kushindwa kuongeza wachezaj wa maana walipopata nafas kufanya ivyo ,kama wana simba tukubal kwa mwaka huu tumeishia apa ni suhala la viongoz na makocha kujipanga kujua wap na wap pana shida wajue cha kuongeza
Uwezo wa kusoma na kujua makosa ya mpinzani unamwadhibia hapo hapoWakat simba amemiliki mpira kwa 68% na kaizer 32..kumbe ndo kucheza chini ya kiwango?
ExactlySimba wamecheza? wamecheza nini, zile pass za kupigiana nyuma mbele nyuma mbele ndio kucheza? wapi umeona hata kum test kipa wa Kaizer au kuwazunguka beki za Kaizer. Nachukia sana kuona team inafungwa 4 halafu anakuja mtu anasema lakini tume poses mpira ni malengo na mpira ni magoal sio kumiliki mpira halafu umiliki wenyewe hauna maana yoyote mipira yote waliyotaka kupiga kwenye 18 wale Kaizer wali deal nayo yote. Kaizer ni warefu na wakatumia silaha ya urefu wao na uhakika Simba hawakufanya homework kuhusu hawa jamaa nguvu zao ziko wapi. Simba jana wamecheza mpira mbovu kabisa na kiwango cha jana ndio kile cha zamani cha tano tano.
Aina hii ya watanzania ndio wanatufanya tuonekane mazezeta. Kwa hiyo wachezaji Chelsea nao wamehongwa na GSM jana. Amka ndugu. Nani kakwambia Simba ndio klabu bora Afrika hadi isifungwe na Kaizer Chiefs? Tunatia Aibu.Nasema wazi kabisa kwa mchezo wa jana tulipaswa kuadhibiwa.
Wachezaji wamecheza chini ya kiwango.Imefika mahali ninaanza kushawishika huenda kuna kitu zaidi ya mchezo.
Shaffi Dauda anaishi na siri. Hii michezo huwa ni fursa kwa watu wengi sana hasa wapiga dili. Ninaona mipango ya Simba kuja kushinda goli 3 -1 kwa Mkapa tuendelee na stori tulizozizoea za kutolewa kishujaa.
Liko jambo na safari ndio imefikia mwisho kwa Simba.
Sijamtetea Kapombe kwa lolote alilokosea, nilichokataa ni kumwangushia kumba bovu peke yake.Tuache unafik ndugu yangu kapombe hakua sawa ata kuna wengine wamekosea usikatae na yy kukosolewa kuna mipira kama mitatu kapombe ilimpita kwa kujisahau ,la msingi tuseme ukwel uwezo wa wachezaj wa simba umeishia pale hawana wachezaj wa kucheza nusu fainal ila ni majuto sana maana katika miaka ya iv karibun naona mwaka huu simba kama wangezid kujipanga wangefika mbal ila mazoea yamewaponza kuna hatua ktk mpra uitaj wachezaj wanaotegemea maelezo ya kocha tu nimekua niikifuatilia simba ina aina moja tu ya mpra pasi ni hatar sana ktk hatua kama ya kwenda nusu fainal ni hatua kubwa unaitaj wachezaj ambayo wanaweza kubadilka kulingana na mazingra ,yote kwa yote viongoz wajifunze na wajue mpra sio kukaa hotel za nyota 5 au kuaid bonus unaitaj kwanza wachezaj karbu kum ambao wapo imara kwa kila sehem mfano simba ata ktk lig ya ndan ni udhaifu tu wa wachezaj wa timu nyngine ila simba ina matatzo kila eneo ni hii yote kuoneana aibu na kuendelea kuwakumbatia kila mchezaj mm bado naona simba inaitaj kiungo ambae machachar zaid ya lwanga na aliekua shap pia bek wawa kapombe wanaitaj wasaidiz kuwazd wao ambao wanaweza kucheza mipira ya juu na chin upande wa mawinga sina tatzo nako ila pale mbele tukubal tu zama za boko na kagere zimeisha lazma wapate mtu kumzd mugalu ambae mwenyewe tu atakua na uwezo wa kutumia ata nafas chache ,na uwezo wa kuwasaidia wenzie na pia bado simba wanashindwa kusaidiana asa asa katika mipira ya kona na kros na fauro viungo na mabek linapokuja suhala la kukaba ni wavivu mwaka wa tatu huu tatzo ilo bado lipo ,bado najiulza simba washakubal timu yao nzur ad kushindwa kuongeza wachezaj wa maana walipopata nafas kufanya ivyo ,kama wana simba tukubal kwa mwaka huu tumeishia apa ni suhala la viongoz na makocha kujipanga kujua wap na wap pana shida wajue cha kuongeza
Hii meti inaitwa nganganna ujinyeee.Yes ofcoz u r very right..tactics mate tactics...ndizo ziliwamaliza simba. This is next level bwana. Huku ligi yetu twajua kucheza 4-4-2 tuu. Jana simba walikutana na changamoto ya kimbuni na walishindwa kulitatua.
Walikuwa na umiliki wa mpira lakini jinsi ya kupenya a 5-2-3 formation ilikuwa shinda. Jinsi ya kuivunja hii defence ni tofauti na vile unavyoivunja defence ya 4-4-2 particularly relating to positional play ya wachezaji. Sasa hapa ndio pep anapokuwaga mtamu...anajua kawaelekeza wachezaji wakae maeneo gani ya kimkakati ili kutransalate possession into penetration.
Gomez ali fall into the common fallacy Ambayo ni kwamba ukitaka goli wee ongeza tuu washambuliaji pasipo kujua kuwa hao washambiliaji wanatakiwa wa occupy speciffic strategic positions ambazo ndio zitasaidia katika kuvunja ngome ya mpizani.
Sasa kuna nadharia na kuna practice. Yes hivi vitu unafundishwa kwenye pro licence za uefa and all that lakini kilichowakumba simba ni kwamba kwa sababu ligi yetu hainaga so many variations za formations, wachezaji na bench la ufundi walikuwa hawajakutana na kitu kama hicho therefore kuanza kusolve hiyo tactical problem while game inaendelea nna wakati hujafanyia mazoezi ni almost impossible. Na nadhani pia chiefs wali spring out this suprise so simba hawakutegemea kukutana na a 5-2-3 formation.
Labda nilikuwa natizama mpira mwingine.Povu la nn mkulu mnajisema sana ni watu wa ku ku ku ku si ndo hiyo walizidiwa maarifa ya kupenya ngome ya kaizer chiefs otherwise mpira walicheza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda nilikuwa natizama mpira mwingine.
Haya majitu Ni mahoho.Hivi nyie ni wakina nani mpaka msifungwe,kwa hiyo unataka kutuambia nyie mkishinda ndio michezo mnayofanyaga ya kuhonga timu pinzani sio?
Baambie ma Utelembwende benzio bakueleeewapuuzi wasiojua soka wamevamia jukwaa. wakati Simba anamfunga Vita 4 mlikuwa wapi. Vita alipewa bei gani. Hayo ni matokeo
Aisee..we jamaa nakushangaa Sana..sasa mikataba waliyoisain na Simba juzi juzi tukaononyeshwa ni uwongo!? Aliyekwambia kusian Pre contract kuwa unapewa pesa hapo hapo nani!? Embu acha ujuha Basi shekhewewe ni muhusika wa kusinya hizo pre contarct au msemaji wa li chambuzi nguli kabisa nchi hii?KWA NINI KAPOMBE NA ZIMBWE JR HADI LEO WANATEMBEA NA HELA ZA ADVANCE ZA GSM ?HUU UZI NILIWEKA HAPA LONG TIME TU KAMA MWEZI JANA UMEANZA KUONYESHA MATOKEO YAKE BADO MECHI YA UTOPOLO TUTAONA MENGI
Shafii Dauda adai aliiokoa Simba dhidi ya Yanga kuchukua wachezaji
Maajabu yanaendelea baada ya kula mshiko wa zimbwe junior ikiwa malipo yake ya kuitukana simba na CEO barbra gonzalez shafii dauda anadai kwamba yeye anatakiwa ashukuriwe sababu kaiokoa simba KWANI KAPOMBE NA ZIMBWE WALISHASAINI PRE CONTRACT YANGA. Walahi yaani watu wanadai wao wanapigania...www.jamiiforums.com
Ni kwel ni muda wa kujipanga upya aina faida kuwa na wachezaj weng alaf wote aina moja na pia kama mchezaj amecheza simba alaf umr na kiwango kikashuka ni vzur kutafuta mbaya hii ya kuwakumbatia kisa walicheza kwa mafanikio kila cku tutakua na kaz ya kujipanga upya tokea msimu huu unaanza simba ina tatzo na namba 9 mwenye maono ambae nafas mbil au 3 atatumia moja mfano wale jamaa namba tisa wao sio kwamba alipata nafas zaid ya tano ila izo alizopata alizitumia na ili jambo nililiona mapema ata kama mech za ligi wachezaj weng wa simba sio watu wa kutumia nafas ata ktk lig kwa hatua kama iz ni lazma ufungwe timu ambazo zinaenda robo kwenda nusu ni atar kama utakua na wachezaj ambao wafunge bas lazma wapate nafas nne au tano ni rais kuishia apa ,wana kaz ya kufanya kuongeza wachezaj watatu au wanne wenye viwango ambao moja kwa moja waingia ktk kikos cha kwanza mpra una pesa lkn kwanza tumia pesa ,kuna muda naona viongoz kama wanauchukulia poa mpra mfano angalia baada ya kufka makund walipewa pesa kwa ajir ya kuongeza nguvu walichofanya wanakijua wao, mfano mwngne ambao unaonyesha viongoz kuna sehem wanachukulia mpra kawaida ktk usafir wamatumia bas la kawaida ni karbu miaka kum apa katikat wamepata pesa na mikataba ming tu ya maana kama wangekua makin wangefanya jambo ambalo nitakumbukwa mfano kuuboresha uwanja wao au kupata usafir wa maana kuliko kununua bas ambalo alipishan sana na la zaman tunataka kuwekeza ktk mpra ila kuna uoga na kutojiaminSijamtetea Kapombe kwa lolote alilokosea, nilichokataa ni kumwangushia kumba bovu peke yake.
Nakubaliana na wewe katika masuala yafuatayo;
1.Ni kweli Simba ina shida kubwa ya beki wa kati. Mabeki wake wote wawili hawajui wafanye nini na mipira inayokatisha na huu ni ugonjwa wao siku hadi siku.
2.Simba ina tatizo la kiungo mzuiaji. Thadeo ni kiungo mkabaji ndo maana kwenye matukio ya kukaba/kunyang'anya utamuona mara nyingi akicheza faulo akicheza tackle nk lkn kuzuia mashambulizi imekuwa ngumu kwake hususan timu inapozidiwa.
3.Kuwa na aina moja pekee ya uchezaji hili nimelifafanua vizuri kwenye comment yangu. Simba ni Simba wakati wote. Wakati katika soka ni kosa kubwa kudhani ukiwa mkali na ikakusaidia siku moja basi unatakiwa kuwa mkali siku zote. Kuna kipindi unahitajika kuwa mpole, mkarimu, mkimya nk.