Tuache unafik ndugu yangu kapombe hakua sawa ata kuna wengine wamekosea usikatae na yy kukosolewa kuna mipira kama mitatu kapombe ilimpita kwa kujisahau ,la msingi tuseme ukwel uwezo wa wachezaj wa simba umeishia pale hawana wachezaj wa kucheza nusu fainal ila ni majuto sana maana katika miaka ya iv karibun naona mwaka huu simba kama wangezid kujipanga wangefika mbal ila mazoea yamewaponza kuna hatua ktk mpra uitaj wachezaj wanaotegemea maelezo ya kocha tu nimekua niikifuatilia simba ina aina moja tu ya mpra pasi ni hatar sana ktk hatua kama ya kwenda nusu fainal ni hatua kubwa unaitaj wachezaj ambayo wanaweza kubadilka kulingana na mazingra ,yote kwa yote viongoz wajifunze na wajue mpra sio kukaa hotel za nyota 5 au kuaid bonus unaitaj kwanza wachezaj karbu kum ambao wapo imara kwa kila sehem mfano simba ata ktk lig ya ndan ni udhaifu tu wa wachezaj wa timu nyngine ila simba ina matatzo kila eneo ni hii yote kuoneana aibu na kuendelea kuwakumbatia kila mchezaj mm bado naona simba inaitaj kiungo ambae machachar zaid ya lwanga na aliekua shap pia bek wawa kapombe wanaitaj wasaidiz kuwazd wao ambao wanaweza kucheza mipira ya juu na chin upande wa mawinga sina tatzo nako ila pale mbele tukubal tu zama za boko na kagere zimeisha lazma wapate mtu kumzd mugalu ambae mwenyewe tu atakua na uwezo wa kutumia ata nafas chache ,na uwezo wa kuwasaidia wenzie na pia bado simba wanashindwa kusaidiana asa asa katika mipira ya kona na kros na fauro viungo na mabek linapokuja suhala la kukaba ni wavivu mwaka wa tatu huu tatzo ilo bado lipo ,bado najiulza simba washakubal timu yao nzur ad kushindwa kuongeza wachezaj wa maana walipopata nafas kufanya ivyo ,kama wana simba tukubal kwa mwaka huu tumeishia apa ni suhala la viongoz na makocha kujipanga kujua wap na wap pana shida wajue cha kuongeza