kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
- Thread starter
- #41
Sababu insjulikana.Ili utopolo wagomee mchezo kuepuka aibu.
Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa jambo hili yanga hawakulijua.Walishajipanga kabisa kutocheza leo.
Huyo waziri wa habari na Katibu wake wote ni utopolo lia lia.Huu ulikuwa mtego kwa TFF nao wakaingia wazima wazima.
Kiufupi yanga ameshinda leo kwa kuwatumia utopolo wenzake walio serikalini.
Hili ni funzo kwa kiongozi yeyote mwenye dhamana pale TFF. Kamwe msikubali kuvunja kanuni kwa maelekezo ya watu wanaoogopa kufa kwa pressure

Maturity ni kuto kufuata sheria? kulikua na sababu gani kuhairisha mechi ndani ya masaa 2?