Simba wamehujumiwa wazi kabisa

Sababu insjulikana.Ili utopolo wagomee mchezo kuepuka aibu.

Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa jambo hili yanga hawakulijua.Walishajipanga kabisa kutocheza leo.

Huyo waziri wa habari na Katibu wake wote ni utopolo lia lia.Huu ulikuwa mtego kwa TFF nao wakaingia wazima wazima.
Kiufupi yanga ameshinda leo kwa kuwatumia utopolo wenzake walio serikalini.

Hili ni funzo kwa kiongozi yeyote mwenye dhamana pale TFF. Kamwe msikubali kuvunja kanuni kwa maelekezo ya watu wanaoogopa kufa kwa pressure
Maturity ni kuto kufuata sheria? kulikua na sababu gani kuhairisha mechi ndani ya masaa 2?
 
Paw mbona mnawaangalia tu mashabiki wa Simba wanavyotukana matusi makubwa hivi?
 
Haya maneno ni wazi wote wawili mmetoa kwenye kijiwe kimoja. Upenzi wa timu isikufanye mtu unachukua habari za vijiweni na kuleta humu bila kufanya uchunguzi.. ukipitia ukurasa wa Azam tv ,. Azam fc na Yanga utaona kuwa mabadiliko ya mechi kusogezwa mbele yamewwkwa tokea tarehe 23 na wakati mechi itachezwa tarehe 25.
 
Sababu insjulikana.Ili utopolo wagomee mchezo kuepuka aibu.

Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa jambo hili yanga hawakulijua.Walishajipanga kabisa kutocheza leo...
Imani yako inakuambia Yanga walilijua hili kabla ya tarehe 8? Kama kanuni na sheria ingefuatwa hata hao watu waliojazana uwanjani kabla ya saa kumi na moja, usingewaona wamehazana maana taarifa ingetoka ya mapema kuwa mechi imesogezwa. Swala sio Yanga kujua bali ni kwanini wasubiri masaa kadhaa mechi kuanza ndio taarifa zitolewe za kusogeza mchezo?
 
Kwanini nyie msingeleta timu saa 11 kama wanaume kweli? Mlishachungulia mkaona pagumu mkakaa na TFF mtuseti sisi eti saa moja nani mnaemuona mjinga hapa? Sisi wenyewe watu wa mipango km nyie msituchukulie poa
 
Nakuheshimu sana chief ina maana hujui tofauti ya simba na yanga na hzo mechi nyengine? Ile ni zaidi ya mechi wewe ni mtaalam unajua kuna mengi hufanyika kabla ya kuingia uwanjani kwanini unahoji yanga tu kuondoka kwanini uhoji simba kutoleta timu saa 11?

Mbona tulikaa sana uwanjani? Waliridhia mabadiliko kwa katiba kanuni koi ya tff? In short ulichungulia mtani haikuwa nzuri kwako mkaona isiwe tabu karia simba kidau simba hanspope simba so hatushangai tff ni yenu
 
Kati ya saa moja na kumi na moja nini tofauti. Mbona haya mambo hutokea Hata kwenye safari za anga na majini. Ndege inatakiwa kuondoka saa moja mnaambiwa itaondoka saa sita , ni kawaida sana..
Kanuni inasemaje?
 
Hata usipo amini hatupunguzii kitu maisha yana endelea wewe kaa na ujinga wako,eti wame ogopa kucheza na Simba kwa kipi hasa? hio Simba ina wachezaji wana miguu sita ?
 
Naomba ratiba ipangwe upya mapema tena isiwe mbali ikibidi hata week hii ili tuone utopolo watagomea nini tena. Kiufupi kipigo bado kipo pale pale
 
Manara ameenda shule gani mtu anataka kesi zinazo takiwa zishughulikiwe na Tff, Caf na Fifa yeye anataka zishughulikiwe na Bunge harafu unatamba eti simba ina viongozi Wasomi kama Manara basi hiyo inatoa taswira ya uelewa wa wana simba kwenye mpira
 
Kiongozi anasimama Bungeni na kulazimisha Timu zikifungwa na Yanga hata kwa hujuma zikubali Matokeo leo hii unamwita ni Mshabiki wa Simba?
Kuna mtu katoa picha ya waziri tena kavaa jezi za yanga halafu mwehu mwingine anamzushia ni shabiki wa simba
 
We muongo, taarifa ilitolewa tarehe 21 April na mechi ikachezwa tarehe 25 April

 
Wewe ndio mfano halisi wa mbumbumbu rage aliowasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…